Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

HOUSE FOR SALE At TEGETA WAZO-KISANGA

Located: Tegeta Wazo Kisanga Karibu na Shule ya Secondary ya Twiga.

Nyumba ipo Mita 400 Kutoka barabara kuu ya Lami- (Wazo -Madale)

Features :
NYUMBA INA....
--- 3 Bedrooms
--- 1 Master Bedroom.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Store
--- 1 Sitting rooms.
--- 1 Public toilet.
--- Bathroom.
--- Big Sliding Windows.
NOTE: All rooms are fitted with running water
--- Eneo Limerasimishwa na Serikali ya Mtaa na Lina Nyaraka za Serikali ya Mtaa.
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.
--- Plot Size:800 Sqm
--- Price:Tsh. 90 Million (Negotiable)

Call or WhatsApp for more details. 0756060183

IMG-20220206-WA0004.jpg
IMG-20220206-WA0003.jpg
IMG-20220206-WA0002.jpg
 
Kwamba Texas maisha ndiyo marahisi kiasi hicho mkuu? Labda kwenye ranch za Amarillo huko!
Ingia zillow mkuu utaona bei za nyumba kali usd 200,000 mpaka usd 400,000
 
Sio Texas tu, kiujumla hela hio US unapata nyumba nzuri sana maeneo mazuri pia. South Africa ndio balaa kabisa.
Hahahaa kusema ukweli $850k ni nyingi mahala popote pale duniani unapata nyumba nzuri na chenji inabaki. Ukienda nchi kama Portugal utashangaa zaidi.

Hii hapa ni Texas, USA.
 
Hahahaa kusema ukweli $850k ni nyingi mahala popote pale duniani unapata nyumba nzuri na chenji inabaki. Ukienda nchi kama Portugal utashangaa zaidi.

Hii hapa ni Texas, USA.
Manvel! Okay!
 
Hizi ziko kwenye miji gani [emoji3][emoji3]
Mji wowote unaotaka wewe US unapata nyumba nzuri kwa hio $850,000 sijui point yako au unachobisha ni nini wakati you can easily 'google' $800,000 house in US na ukapata majibu.
 
Back
Top Bottom