Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kutoka hapo hadi town dsm kwa usafiri binafsi asubuhi inachukua muda gani?
 
Nyumba ina vyumba 4 na vyote ni self,public toilet, sting room,dining room, kitchen,stool nk

Size plot 1200 SQM
Documents..Title did miaka 99
Bado finishing

Bei 85m

Maongezi zaidi 0756060183
20200711_171440.jpg
20200711_171444.jpg
20200711_171305.jpg
 

Attachments

  • 20200711_171428.mp4
    2 MB
Hiyo nyumba ilipofika na uwanja wake bei ni overstated sana. Finishing ya hiyo nyumba bado kabisa.
 
Siunajua uhitaji tu ndgu! Kama vile waswahili tusemavyo kimfaacho mtu chake
 
PLOT FOR SALE IN KIGAMBONI -DEGE
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃
Location: Kigamboni - Dege
Mtaa wa Ras Dege.

Kiwanja kipo 700m Kutoka Barabara ya Lami ya kwenda KimbijiKiwanja kina Ukubwa wa 650 sqmKimepimwa na KurasimishwaMaji yapo, Umeme upo.

Asking price:

Tsh. Mil. 11.5

Maongezi zaidi 0756060183

1596716089440.png

1596716067654.png

1596716143454.png
 
Back
Top Bottom