dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,241
SawaAliye na funguo ndiye aliyekabidhiwa nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAliye na funguo ndiye aliyekabidhiwa nyumba
[emoji38]Sasa muwe mnakutana madalali mliokabidhiwa ili kuwa na bei ya pamoja.vinginevyo madalali wote mtaonekana matapeli.
Biashara ya kupata faida zaid ya 500,000 per month?
Tuma salamu kwa watu watatuHakuna?
Tuma salamu kwa watu watatu
Tunarudi hukohuko. Tena sasa hivi rent zitaanza kulipwa kwa dola. Keep this post for reference.Inasikitisha sana,enzi za JK ulikuwa hauwezi kupata ofisi maeneo kama hayo!!
Hapa tulipisha kwa 1SQM bei 19000Tunarudi hukohuko. Tena sasa hivi rent zitaanza kulipwa kwa dola. Keep this post for reference.
Ofc ni kubwa tunakata kulingana na mahitaji yako..bei ya 1SQM ni 19,000 kwa mweziWeka nyama kwenye tangazo. Ofisi zina ukubwa gani. Malipo kwa mda gani….na huduma zinazopatikana hapo.
Asante sana mkuuIpo poa sana
Watu wanapanga mkuuKwa hiyo bei!!!!!!!!!!!!!!!!