Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Dodoma mbona hampandi miti hata ya matunda?NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA DODOMA
Ipo kisasa sheli.. ina vyumba vya kulala 4, vyote selfu.. sebule, dianing, jiko na stoo... bado.. tiles na milango ya ndani.. ina maji. bei Tsh 120m.
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2163404View attachment 2163408View attachment 2163409View attachment 2163410View attachment 2163411View attachment 2163412
Nahitaji kiwanja 1000sqm dodoma ihumwa na mtumba
Leta offer muuzajibei gani ipo?
Msweet unaijua vzr dodoma ya miaka 10 iliyopita? Sasa ivi miti imepandwa sana ndiyo maana hata mvua ni nyingi tofauti na nyumaWatu wa Dodoma mbona hampandi miti hata ya matunda?
Njoo whatsp nikutumie video ya ndaniKula 80M chap. Maana finishing kwenye ubaraza sijaielewa, na huenda ipo hivyo hadi ndani? Weka picha za nyumba kwa ndani
900 sqmUkubwa wa kiwanja
Mkuu nichk kwenye hiyo no nitakutumia picha za viwanja vya kutosha uchague mwenyeweNahitaji kiwanja 1000sqm dodoma ihumwa na mtumba
Kwahyo mkuu hii nyumba huioni kabisa au umemaanisha nini ?Sasa hapo unauza nini mil 120???
Saivi kijani kimetawala tunapanda miti kila konaWatu wa Dodoma mbona hampandi miti hata ya matunda?
Asant sana mpendwaIko njema
Kweli kabisaMsweet unaijua vzr dodoma ya miaka 10 iliyopita? Sasa ivi miti imepandwa sana ndiyo maana hata mvua ni nyingi tofauti na nyuma
Sawa kabisaLeta offer muuzaji
Asante sana mkuu nashkr350m-. Ila nyumba nzuri- eneo pia zuri!
Hahaa ngoja aje anipe darasaKiduku Lilo atakuja kulalamika hapa kuwa hiyo nyumba haiendani na hadhi yake kwa muundo wake na thamani ya ukwasi alionao [emoji3526]