Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumb safi sana , jamaa wameisha rudi mtaani sasa hivi itachukuliwa!!!
 
Hivi uko mbweni JKt kuna kiwanja cha walau 30M mtu anaweza kupata? Au vyotw ni kuanzia 100+M?
 
Ni kweli mkuu ila nyumba iko vzr sana na mbweni Jkt kwa sasa inaendelea kujengekeka kuliko ata mbezi beach nk
hata kujengeke vp huwezi kulinganisha Mbezi Beach na Mbweni JKT.... Mbezi ni karibu na city center.... Huko Mbweni watu wanajenga kwa mabilioni halafu wanatelekeza nyumba wanakwenda kupanga vijumba Kijitonyama ili wawe karibu na mjini... what was the point of building ?
 
Hivi uko mbweni JKt kuna kiwanja cha walau 30M mtu anaweza kupata? Au vyotw ni kuanzia 100+M?
Mkuu mbweni Jkt viwanja vimepanda bei sana. Kwa hii ofa yako tunaweza kuangalia maeneo mengine. Karibu sana
 
hata kujengeke vp huwezi kulinganisha Mbezi Beach na Mbweni JKT.... Mbezi ni karibu na city center.... Huko Mbweni watu wanajenga kwa mabilioni halafu wanatelekeza nyumba wanakwenda kupanga vijumba Kijitonyama ili wawe karibu na mjini... what was the point of building ?
Pitia saivi uione mbweni mkuu halafu utakuja hapa tuendeleze mjadala
 
APARTMENT ZAKISASA
ZPO TEGETA NAMANGA
ZINAUZWA BEI YAKUTUPWA
KABISA

hizi nyumba zipo 4 kwenye eneo moja, nyumba mpya
nyumba mbili zimeisha
kabisa zenye vyumba v2
sebule na jiko mpangaji
analipa Tsh 250,000/=
kwa kila nyumba, mbili bado
zakumalizia
zipo sehem nzuri sana
bei kwa zote Tsh 60m maongezi zaidi yapo
nyumba hazina
mgogolo wowote
wala mkopo
karibu sana umiliki apartment na wewe ule kodi kila mwezi(Baba/Mama mwenye nyumba ni heshima kubwa sana mjini hapa)

MAELEZO ZAIDi 0756060183
IMG-20220410-WA0035.jpg
 
Pitia saivi uione mbweni mkuu halafu utakuja hapa tuendeleze mjadala

Mkuu sidhani kama jamaa amepinga wazo lako. Point yake kubwa ni kwamba huwezi kulinganisha mbezi beach na Mbweni. Kwa sasa Mbweni inakua haraka na ina nyumba nzuri kweli kweli. Lakini kwa maisha yetu haya ya kutegemea ajira, huwezi mshauri mtu aishi mbweni na afanye kazi mjini/city center. Unless iwe nyumba yake amejenga. Na kiuhalisia mtu mwenye uwezo wa kupanga nyumba ya 1M-1.5M Mbweni huyo hata Mbezi beach nyumba ya 2M anaweza afford.

Kwa ujumla mbweni ni pazuri kama mjengo ni wa kwako. ila kwa kupanga..maybe uwe mfanya biashara au ana mishe zako.

Ila changamoto kubwa kwa sasa Mbezi beach rent hazishikiki kabisa! Nyumba ya 1M au 1.5M ni nyumba ya kawaida sana.
 
Sawa mkuu nakuelewa
 
Nyumba inauzwa morogoro mjini maeneo ya chamwino 10M

Kwa mawasiliano 0719534334 ( muuzaji/ mwenye nyumba)
Screenshot_20220422-152617_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom