dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #2,481
Karibu mkuu800m2, bahari beach kwa 150m
Sina hiyo hela ilambona inauzw chini hivi ,shida nini? Huko maenei bei ghali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu800m2, bahari beach kwa 150m
Sina hiyo hela ilambona inauzw chini hivi ,shida nini? Huko maenei bei ghali sana
Kweli kabisa mkuu asante kwa ufafanuziPlot ndogo kule nyingi 1200sqm- 2000
Za kawaida siku zote mkuu. KaribuAisee kumbe bei za siku hizi zimefika hapo duuh!
Pako vzr kabisa mkuu, hamna maji na siunajua kwa sasa mbweni inajengwa miundombinu ya barabara na mifereji mikubwa kila kona ya mtaaMmm Hapajai maji apo mkuu
Bei ndogo au kubwa mkuu?Bei bei , na ukubwa wa kiwanja mhh
Umeona eeh mkuuDah kwel ardhi inapanda thamani
Sana mkuu na huku ndio kwenye uwekezaji wa uhakikaDah kwel ardhi inapanda thamani
Ya kitanzania au ya majirani zetu zimbabwe?Millions 270,000,000/=(Millions Mia Mbili Na Sabini Tu)
Sawa Sawa