Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Nikileta mteja nakula shillingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseh hebu nipe connection yake tumuweke hapahivi Daimond si amepanga kwa nini asinunue hili jeengo....
Mkuu nipigie tuyajenge kwa pamoja.Nikileta mteja nakula shillingi ngapi?
Baba levo hizi ndiyo zilipashwa ziwe kazi zake za kumuondoa Daimond kwenye nyumba ya Kupanga na kumuweka humu sijui hawa wasanii akilii zao zipo wapi..Aiseh hebu nipe connection yake tumuweke hapa
Ngoja niwatafute aisehBaba levo hizi ndiyo zilipashwa ziwe kazi zake za kumuondoa Daimond kwenye nyumba ya Kupanga na kumuweka humu sijui hawa wasanii akilii zao zipo wapi..
Haaaaa makubwa haya jamani.Ningenunua ila tatizo makafara yaliyofanywa umo sio mchezo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kha! Kweli watu wanaishi.Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Mbweni Moga ya tatu (3) kutoka kwenye lami. Ramani ya nyumba hii ni (American architectural). Hii nyumba ya kuamia tu hugusi kitu.... Halafu iko jirani na wakuu tofauti tofauti wa ulinzi na usalama...
Nyumba contained, fully A/c, garden nzuri sana, plot sized: 1,350 sqm ina title deed.
- Bei TZS. 1.3 billion maongezi yapo
Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 2342422View attachment 2342423View attachment 2342424View attachment 2342425View attachment 2342426View attachment 2342427View attachment 2342428View attachment 2342429View attachment 2342430View attachment 2342431View attachment 2342432View attachment 2342433View attachment 2342434
Poa sana mkuu, nitafanyia kazi ushauri wako huukukosekana kwa ukubwa wa vyumba vya kulala ni mojawapo ya kasoro kwenye tangazo hili bwana dalali.
Hata hivyo ni mjengo unaostahili bei hiyo kwa kweli.
Hiyo ndio bei yake mkuu..ila vitu vya thamani vimewekwa humo mkuu hili usilisahauBil 1.3?? Bei ya ghorofa California - US.
Hilo halipaswi kuwa zaidi ya mil 500