Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Mbweni Moga ya tatu (3) kutoka kwenye lami. Ramani ya nyumba hii ni (American architectural). Hii nyumba ya kuamia tu hugusi kitu.... Halafu iko jirani na wakuu tofauti tofauti wa ulinzi na usalama...

Nyumba contained, fully A/c, garden nzuri sana, plot sized: 1,350 sqm ina title deed.
- Bei TZS. 1.3 billion maongezi yapo

Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 2342422View attachment 2342423View attachment 2342424View attachment 2342425View attachment 2342426View attachment 2342427View attachment 2342428View attachment 2342429View attachment 2342430View attachment 2342431View attachment 2342432View attachment 2342433View attachment 2342434
Matunzo ya hii nyumba miezi mitatu tayari nimesha nunua ist kali kabisa
 
Ningenunua ila tatizo makafara yaliyofanywa umo sio mchezo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
AcHa imani za kishirikina kwani kujenga jengo Kama Hilo Ni lzm utoe mtu kafara hapa jmn watu wametafuta pesa ujue acha kbsa Sasa 1.3 bilion Ni pesa za kusema mpk mtu atoe kafara jmn siyo kweli kbsa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dah! Aise 1.3 billion hela nyingi nyie. Yaani mtu anaishi miaka 35 huku akitumia mil 3 kila mwezi!! Yaani kwa umri wangu huu wa 42 niongeze tena 35 ...hatari. wee ni kukaa kwenye laptop na kuchapa text tuu hapa jf
 
Back
Top Bottom