dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #2,721
Hahaa njoo tukuuzie na ndogo zipo mkuuNyumba kubwa nipeleke wapi kwani mimi TEMBO!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa njoo tukuuzie na ndogo zipo mkuuNyumba kubwa nipeleke wapi kwani mimi TEMBO!
Hizo nyumba ndogo zipo ngapi?NYUMBA NZURI YA GHOROFA INAUZWA SALASALA MTAA WA PILI KUTOKA KWENYE LAMI.
Nyumba ina vyumba 6 vyote ni self, sttingroom,Dainingroom, Kitchen&Public Toilet
Nk
Na pia kuna nyumba ndogo za wafanya kazi, wageni nk na zote zina vyumba 3 na jiko na vyoo nk
Size plot 4000 SQM
Hati ipo
Bei Tsh 850m
Maongezi zaidi 0756060183View attachment 2562968View attachment 2562969View attachment 2562970View attachment 2562971View attachment 2562972
2 mkuuHizo nyumba ndogo zipo ngapi?
PichaShule inauzwa ipo Bahari Beach. Plot size: 3.5 acres...
- Ina swimming pool, garden ya kisasa pamoja na kiwanja cha michezo cha watoto...
- Kwa sasa ina wanafunzi wa nursery na primary mwisho darasa la tano... lakini ina eneo la kutosha na unaweza kuongeza madarasa na ukaingiza wanafunzi wa darasa la sita na la saba...
- Kwa sasa imefungwa
- Bei USD $ 1 million.
Maongezi zaidi 0756060183
Tutazingatia hili wakati mwingineFundi rangi angehusishwa wakati wa kupaka rangi.