Habari Wana jukwaa.
Eneo linapatikana wilaya ya ilala, jimbo la ukonga.
Eneo linaitwa Kitunda, km 5 kutoka nyerere road ( banana)
Eneo lina ukubwa wa meter 70*70 (sqm 4900)
Eneo lipo sehem nzuri mbele ya barabara ya mtaa.
Eneo limepimwa tayari ( lina offer I. E michoro na vipimo vipo wizarani tayari)
Eneo Linauzwa kwa hekari moja au pia unaweza kukatiwa nusu hekari kama unahitaji.
Eneo linafaa kwa makazi na hata ufugaji pia.
Huduma zote za kijamii zinapatikana Eneo husika. (maji, umeme, barabara)
Bei kwa Eneo lote ni tsh 60m
Bei kwa nusu hekari ni tsh 30m
MAWASILIANO : 0785 857564