Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah kitunda iko proper, ndo nyumbani hukoHata huko pako vizuri sana mkuu.. Kitunda yote kijografia Iko safi.. Hii ni Kitunda Kibeberu
bei siyo mbya lakini kwa kuuza kwa haraka ungevikata kwa ukubwa hata wa 20*20mHabari Wana jukwaa.
Eneo linapatikana wilaya ya ilala, jimbo la ukonga.
Eneo linaitwa Kitunda, km 5 kutoka nyerere road ( banana)
Eneo lina ukubwa wa meter 70*70 (sqm 4900)
Eneo lipo sehem nzuri mbele ya barabara ya mtaa.
Eneo limepimwa tayari ( lina offer I. E michoro na vipimo vipo wizarani tayari)
Eneo Linauzwa kwa hekari moja au pia unaweza kukatiwa nusu hekari kama unahitaji.
Eneo linafaa kwa makazi na hata ufugaji pia.
Huduma zote za kijamii zinapatikana Eneo husika. (maji, umeme, barabara)
Bei kwa Eneo lote ni tsh 60m
Bei kwa nusu hekari ni tsh 30m
MAWASILIANO : 0785 857564
View attachment 2106603View attachment 2106608View attachment 2106609View attachment 2106610View attachment 2106611View attachment 2106612View attachment 2106615View attachment 2106613View attachment 2106614
bei siyo mbya lakini kwa kuuza kwa haraka ungevikata kwa ukubwa hata wa 20*20m
Mbona mwamba kaandika tangazo fresh tu jamaa?Kajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri
Nimeeleza mkuuKajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri
Eti mheshimiwa; 'ntumba' maana yake nini!! Achilia mbali hayo maneno mengine mfano 'tayri' vzr, nk.Kajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri