Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

bei siyo mbya lakini kwa kuuza kwa haraka ungevikata kwa ukubwa hata wa 20*20m
 
bei siyo mbya lakini kwa kuuza kwa haraka ungevikata kwa ukubwa hata wa 20*20m

Nilitaka mshauri hivyo. Kupata mteja mmoja ngumu sana.

Angevikata viwanda vya 50ft x 40 ft vingetoka viwanja vingi sana. Kisha angeviuza kwa bei ambayo wengi wana afford
 
Hiyo sio hekari(hectare), bali ni ekari(acre).
Hekari huwa ni 100m×100m
Ekari ndio huwa hiyo uliyosema na unayouza
 
Hiyo sio hekari(hectare), bali ni ekari(acre).
Hekari huwa ni 100m×100m
Ekari ndio huwa hiyo uliyosema na unayouza
Sawa mkuu, Shukrani kwa elimu mujarabu.
 
Habari wana jukwaa
Nyumba hii inauzwa ipo Kitunda (dar es salaam)
Ukubwa: ina vyumba vitatu, jiko, sebule, dining pamoja na public toilet.

UKUBWA WA ENEO: eneo lina ukubwa wa meter 32 kwa 34
Eneo lote limezungukwa na michongoma na migomba kidogo.

HUDUMA ZILIZOPO: maji,umeme na njia ya gari hadi ndani ya eneo la nyumba

UMILIKI: ni hati ya makazi (serikali ya mtaa)
mauzo yanaweza kufanyika kwa mwanasheria, mahakamani au serikali ya mtaa.

Bei: 45m

MAWASILIANO: 0785 857564



























View attachment 2178197View attachment 2178198
 
Kajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri
 
Kajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri
Nimeeleza mkuu
Nyumba ipo Kitunda, wilaya ya ilala mkoa wa dar es salaam.
Kutoa offer kwa mteja si kwamba Mimi nisiweke offer ya kuuza.
Unaweza kusema una kiasi kadhaa kulingana na uwezo wako then tukaona Kama inafaa ama laa.
 
Mbona mwamba kaandika tangazo fresh tu jamaa?

Hivi wa kujifunza kuandika ni mtoa uzi au wewe?
Shukrani sana kwa ufafanuzi.
Tuzidi kuijenga jamii forum kwa namna hii
 
More pictures



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…