Shukrani Tate Mkuu kwa maelezo mujaarabu.Eti mheshimiwa; 'ntumba' maana yake nini!! Achilia mbali hayo maneno mengine mfano 'tayri' vzr, nk.
Maana unamtaka mtoa mada akajifunze kuandika, huku na wewe ulichokiandika kikiwa hakieleweki!
Mjllion 20 nyingine hizoHii nyumba ukiipiga make up itapendeza sana.
Kwanza unaongeza course moja ya matofali ndiyo unapaua na bata la Msouth. Unaweka Aluminium windows na finishing nje.
Aina majini mkuu? Kwann unaiuza?Habari wana jukwaa
Nyumba hii inauzwa ipo Kitunda (dar es salaam)
Ukubwa: ina vyumba vitatu, jiko, sebule, dining pamoja na public toilet.
UKUBWA WA ENEO: eneo lina ukubwa wa meter 32 kwa 34
Eneo lote limezungukwa na michongoma na migomba kidogo.
HUDUMA ZILIZOPO: maji,umeme na njia ya gari hadi ndani ya eneo la nyumba
UMILIKI: ni hati ya makazi (serikali ya mtaa)
mauzo yanaweza kufanyika kwa mwanasheria, mahakamani au serikali ya mtaa.
Bei: 40m ( mazungumzo kidogo)
MAWASILIANO: 0785 857564
View attachment 2178197View attachment 2178198View attachment 2178200View attachment 2178202View attachment 2178204View attachment 2178203View attachment 2178207
Kwamba yeye ndio wa kwanza kuuza nyumba?Aina majini mkuu? Kwann unaiuza?
Mkuu, umejibu kwa jazba tu kiasi umesababisha asinijibu. Hujawahi ona mtu anauza nyumba ya familia then baadae inaleta migogoro? Hujawahi sikia aliyeuziwa nyumba yenye mauza uza kiasi kwamba wakashindwa kukaa?Kwamba yeye ndio wa kwanza kuuza nyumba?
Kama anazo tatu na ana madeni ni kwa nini asiuze? Unaweza kuwahoji swali hili watu wa real estate?
Punguza chuki utaishi maisha marefuKajifunze kuandika vzr,hujaeleza ntumba ipo wapi? Umetaka upewe offa wakati offa unayo tayri
Fence nzuriii maisha yameisha ni mwendo wa kula tyuuu pumzi.Hii nyumba ukiipiga make up itapendeza sana.
Kwanza unaongeza course moja ya matofali ndiyo unapaua na bati la Msouth. Unaweka Aluminium windows na finishing nje.