Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Kumbe hizi theatre radio/machine na spika huwa separatedYeah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hizi theatre radio/machine na spika huwa separatedYeah
Ungechukua tu hio set nzima ya speaker ukiwa nayo ni rahisi kutafta deki yake!Kuna jamaa yangu aliniletea hizo speaker za sony bila radio yake alitaka 100000 tu.nikaona kama ananiibia vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungechukua tu hio set nzima ya speaker ukiwa nayo ni rahisi kutafta deki yake!
Si zipo zile za sh.70,000 za mafunguKutafuta deki ni kazi kinoma. Deki zinaungua sana wala hutakaa uone Deki inauzwa peke ake. wengi wanauza spika baada ya deki kufa. Pia kuna deki zimeshachezewa chezewa hadi sio poa
Si zipo zile za sh.70,000 za mafungu
20000Samahan mkuu hiyo Bluetooth kit inapatikana bei gani?naweza ona picha yake, biashara njema mkuu.
200kNikitaka deki peke yake utanifanyia shngap.?
Fanya 100k usisahau kuniwekeea remote na hiyo bluetooth kit
150k tunaweza maliza nduguFanya 100k usisahau kuniwekeea remote na hiyo bluetooth kit