INAUZWA Tunauza Simu za aina mbalimbali

INAUZWA Tunauza Simu za aina mbalimbali

Nilinunua sim pale used s9 ina mwezi sasa ipo fresh.usiwazibie wenzio rizk japo najua Kuna wapigaji
Katika 100 zinakuwa 5. Mimi sina uwezo wa kuziba riziki ya mtu nimezungumzia uhalisia ulivyo DUBAI vitu vyao ni vya hovyo sana. Hawaaminiki.
 
USIROGWE KUNUNUA KITU USED FROM DUBAI HUWA NI CHENGA SANA. SISI TUMESHUHUDIA MAGARI NA RADIO MBOVU SANA TOKA HUKO. SINA HAMU KABISA

Karibu dukani sio lazima ununue
Unakuja kujionea tu kusawazisha fikra zako

Chochote utakachonunua toka kwangu Nakupa warranty ya mwaka mzima. kama mpaka hapo bado imani yako duni basi ili tangazo wewe sio mlengwa wangu
 
jibu safi sana
 
Hivi s9 charge si inakaa sana tu fresh??
 
Safi sana umefanya vizuri kuweka inaonekana huna ujanja ujanja katika biashara mwenyew nna uhitaji na simu hiyo s20ultra naitaka ila bajeti haitoshi nna 500k
 
Safi sana umefanya vizuri kuweka inaonekana huna ujanja ujanja katika biashara mwenyew nna uhitaji na simu hiyo s20ultra naitaka ila bajeti haitoshi nna 500k

Jiweke brother mambo mazuri hayaitaji haraka
 
OPPO A57
Ram 4GB
Storage 64GB
Offer kila mtu apate bei 150,000 tu hii bei ni fixed hii ni offer

IMG_8469.jpg

Warranty nakupa[emoji736]
[emoji338]0628139218
 
Back
Top Bottom