SAIT TANZANIA
Member
- Feb 20, 2018
- 18
- 64
- Thread starter
- #21
Au ikikupendeza tuwekee picha ya unachouza maana kiswahili ni kipana sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au ikikupendeza tuwekee picha ya unachouza maana kiswahili ni kipana sana.
Acha kuwafanya Watanzania wajinga.Inaomuesha ujui chochote tulia ujifunze
Kwahiyo unataka biashara hii wafanye wachina ss tumeshindwa wachina washatupa shule waje na kitu kingine wao ndo tutawakimbiza warudi china waje na uwekezaji mwingine au umesahau kuwa ss ndo wenye nyumbaAcha kuwafanya Watanzania wajinga.
Nayajua vizuri, hayo yanakuwa na percent maalumu za mchezaji na mchezeshaji.
Wachina wanavuna billions of Tanzanian shillings kwa ujanja wao ambao wabongo hawauwezi.
Nawajua wabongo walionunua hayo wakaambulia hasara tupu.
Mchina kanieleza uhuni wote wanaoufanya.
Kama yanalipa basi yasambaze mwenyewe kwenye ma bar na ma center makubwa upate mabilioni
Mchina anafanya biashara apigi helaMusinunue.
Kama yanalipa ayasambaze mwenyewe avune mihela kama Wachina
Hapo sawaSpea zipo ikiharibika
Karibu contact ni 0745266680Hapo sawa
Maana wengi wanaleta vitu bila kujali spea tutapata wapi yeye anauza mzigo ukiisha analeta
Mwanzoni hakuandika hivyo... Anajua alichokiandika, pia hakuwa ameweka picha.Anauza jackpot boss
Hii sio biashara ni utapeli.Kwahiyo unataka biashara hii wafanye wachina ss tumeshindwa wachina washatupa shule waje na kitu kingine wao ndo tutawakimbiza warudi china waje na uwekezaji mwingine au umesahau kuwa ss ndo wenye nyumba
Mitandao ya kimafia ilifanya kazi kubwa sana hadi kamari ikahalalishwa.Hii sio biashara ni utapeli.
Haijengi uchumi wa nchi bali inaharibu.
Inaharibu akili za vijana, watoto na wamama uswahilini.
Ni biashara haramu kuliko bangi ila Wachina kwakuwa wanatoa pesa basi wanaendelea ku survive
Wakati kwa mwaka wanalipa $10,000 kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha?Musinunue.
Hiyo ni biashara kichaa, Wachina ndio wanayaweza, wanajipangia % za ushindi huku bodi ya Bahati nasibu wakiwafunga mdomo kwa rushwa.
Nyie wabongo yatawaliza bure.
Hii biashara ya kamari ndio biashara rahisi na ya faida kuliko zote.Mitandao ya kimafia ilifanya kazi kubwa sana hadi kamari ikahalalishwa.
Walitumia muda mwingi, pesa nyingi na watu wengi waliuawa.
Sahihi kabisa, ni mbadala wa madawa ya kulevya.Hii biashara ya kamari ndio biashara rahisi na ya faida kuliko zote.
Imagine Bakhressa alime miwa, avune, achakate , apate sukari, afanye packing asambaze ndo apate pesa. Kamari unajizolea mabilioni ya bure kila siku kirahisi kabisa
Wanataka kuharibu Taifa letu ili tushindwe kupata wavumbuziSahihi kabisa, ni mbadala wa madawa ya kulevya.
Hakuna upuuzi wowote hayo matakataka yapo kuhujumu zaidi ukiona unafaidika jua Kuna watu wameumia,wamepoteza...ndoa ,imevunjika ,,mitaji wamekula..Wabongo watu waajabu sana,ishu nyingine bora upige kimya kimya kweli.
Kipindi cha nyuma walikuwa wanalalamika wachina ndo wenye uwezo pekee wa kuimport hizo machine,now wameletewa wanauliza umetoa wapi.
wabongo wengi ni wapuuzi sana.