INAUZWA Tunauza suti kwa bei nafuu kabisa

Mancobra

Member
Joined
May 31, 2021
Posts
54
Reaction score
95
Suti mseleleko ni wauzaji wa suti za kike, kiume na suti za watoto kwa wateja wa Dar-es - salaam na mikoani. Bei zetu ziko poa kabisa zinaendana na gharama ya fedha yako.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana Nasi kupitia namba;
WhatsApp number: 0712878245





















Suti za kiume(mikoani)
Suti plain 130,000/=
Suti za fashion 160,000/=
Suti za kike 120,000/=
Suti za kiume (Dar)
140,000/=
Suti za kike(100,000/=)
Karibuni🀝🏾
 
Tunauza Suti za kiume aina zote, zipo
plain suits na fashion suits size zote. Suti zetu ni 2 pieces(koti na suruali) na 3 pieces (koti, kizibao na suruali)

Bei ya suti;

Plain suti
2 pieces(koti&suruali)-140,000/=
3 pieces(koti, kizibao&suruali)-150,000/=

Fashion Suti- 170,000/=

Tunatoa huduma Dar na mikoani kwa kufanya free delivery na kwa uaminifu mkubwa.
Kwa mawasiliano zaidi:
Whatsapp: 0712878245
Call: 0627706577

Suti zetu ni za makampuni ya DARO, BAGOZZA na ABSAHET, vitambaa vyote ni vizuri.















































 
jipatie Suti kali za kiume kwa bei poa kabisa.
Plain suit- 140,000/=
Fashion suit- 170,000/=
Kaunda/Safar suit- 120,000/=

Kwa wateja wa Dar es salaam tunafanya free delivery na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.

Kwa mawasiliano zaidi;
Whatsapp: +255712878245
Call: +255743230690



















 
Babe unaenda ukweni wapi huko suti 5😜
😁😁😁 Babe nataka kutia nia ya ubunge huku Lushoto! Wasambaa wananikubali kweli kweli. Sasa nataka niwe nazo hata hizo tano tu ili wakina Shangazi wakirudi kusalimia wapiga kura wasinitambishie.

Na mimi wameshanisimika tayari kuwa Mtemi wa Wasambaa wote duniani!
 
Kila rakheri babe Mtemi πŸ˜‚πŸ˜‚ ila habari ya wajumbe unaifahamu vizuri kuhusu kukata? Usijiamini sanaπŸ˜€
 
Kila rakheri babe Mtemi πŸ˜‚πŸ˜‚ ila habari ya wajumbe unaifahamu vizuri kuhusu kukata? Usijiamini sanaπŸ˜€
😁😁😁 Ngoja nimuulize huyu mentor wangu Pascal Mayalla anipe mbinu za kuwazidi maarifa hao WAJUMBE!! Maana nasikia ni noma kweli kweli!

Wanakupa matumaini na kukujaza upepo kweli kweli, halafu wakati wa kutangazwa matokeo unaambiwa umepata kura moja tu!!! πŸ™„
 
πŸ˜‚ watakwambia umepita bila kupingwa ila siku ya kuhesabu kura hata yako itakosekanaπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…