Masamakinjiapanda
New Member
- Aug 21, 2024
- 4
- 2
Tofali za Mwamba ni imara na mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zinastahimili magadi na seh korofi kama kwenye maji udongo unaotitia na zinaweza kujengea bila kupiga plasta kwa nje hivyo kuepusha gharama tofali moja Lina vipimo vya inch 5/8/16 au 6/8/16 bei ya tofali ni sh 1000 bila usafiri usafiri upo na tunasafirisha Hadi mikoani.