SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
BOSS Smart TV 43" ipo dukani ila imegongwa kidogo kwenye Kioo na kuweka kamchirizi kadogo. Bei yake kwa sasa itakuwa ni 420,000/-. Bado ina kila kitu mpaka Warranty

Picha zake na video tizama chini[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Niambie kama una hizi bidhaaa na beu yake pia nione kama kuna uwezekano tv zote ziwe ni SMART
Star X 32
Samsung 32
LG 32 zote
 
Nahitaj tv inch 55 4k tv gan ambayo mnayo ya bei rahis
Mkuu inchi 55 zipo brand nyingi hapa. Ila kwa bei rahisi kama ulivyosema , nakushauri uchukue BOSS 55" Smart 4k

Au pia kuna TCL Smart 55"

Bei zake ni 1,300,000 kwa BOSS

Na 1,549,000/- kwa TCL Smart.

Kwa maelezo zaidi mkuu naomba nicheki. 0717016789
 
Utakachopenda hapo Tafadhali niulize bei mara moja nami nitakujibu.
0717016789

 
Niambie kama una hizi bidhaaa na beu yake pia nione kama kuna uwezekano tv zote ziwe ni SMARTStar X
Samsung 32
LG 32
Naomba unijibu hapo
 
Hiyo SHARP Air Cooler ya Mchina inasema "wind direction" badala ya "air direction". Hiyo labda ingeitwa "Wind Cooler" badala ya Air Cooler. Kila kitu ni fake, fake, fake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…