gomz120
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 681
- 385
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmewekaWenzako wanaofanya matangazo kama haya wanaweka na bei kabisa maana wanajiamini ubora wa bidhaa zao pamoja na convising price. Kitendo cha kuweka namba za simu ili tukuulize hakina afya kabisa kinaondoa kutokujiamini kwako na bidhaa unazotangaza halafuuu!!! unatuwekea instagramu kwani sisi ni Mangekimambi?
Mkuu heshima kwako. Wiki mbili zijazo nakuja dar nitakuja dukani kwako nataka tcl smart tv je nitapata kwa sh ngapi pia kama nitataka kuwekesha (kuwekeza) hiyo tv je bei itapanda au itabaki ileile.Bado upo. Kwanini?
Nahtaji lg inch 32TCL bei ni hiyohiyo tu. Labda kama unataka star X utapata kwa 390,000
Karibu sana Mkuu. Sijajua unataka TCL smart inch ngapi. Ila pia ukitaka kuwekesha fika dukani tu chagua unachotaka then anza kulipa kidogokidogo kwa muda tutakao kubalianaMkuu heshima kwako. Wiki mbili zijazo nakuja dar nitakuja dukani kwako nataka tcl smart tv je nitapata kwa sh ngapi pia kama nitataka kuwekesha (kuwekeza) hiyo tv je bei itapanda au itabaki ileile.
Smart bei gani mkuu?Unapata Mkuu karibu 0717016789
Sema uko wapi tukuletee mzigo
Nipo kilwa mkuuUnapata Mkuu karibu 0717016789
Sema uko wapi tukuletee mzigo
Fridge za Boss mnauzaje?Wakuu , kwa bidhaa zote za Boss kama mafriji, sabwoofer, majiko ya boss na bidhaa zingine zenye brand hiyo ya BOSS hakuna Payment on delivery.
Ila bidhaa nyingine sawa huduma hiyo ipo kwa wateja wa hapa dar.