Tunauza vifaranga vya kuku wa Mayai (Layers)

Vipi kwa kuanza na vifaranga 500 niandae shilingi ngapi kwa makadirio ,pamoja na gharama za msosi na dawa?
Kwa bei ya vifaranga kwa huyo mwamba ukiwa na million 2 na nusu itakusukuma mpka miezi mitatu kama unalo banda zuri mkuu.
 
Reactions: EEX
Kwa bei ya vifaranga kwa huyo mwamba ukiwa na million 2 na nusu itakusukuma mpka miezi mitatu kama unalo banda zuri mkuu.
1500*500=750000
Chakula mwez wa kwanza 79500(broiler starter crumble)x4=318000
Mwez wa pili mchanganyo wa laki 4
Mwez wa tatu mchanganyo wa laki 4
Mwezi wa nne mchanganyo wa laki 4
Antibiotics +chanjo + maji+usafili kwa muda wote miez minne max laki3....sure kwa 2.5m anatoboa
Japo io price yke ni ndogo kuliko hta bei ya chotara na kwa nature ya market now kama ni mtu wa uhakika ...kama ana office na unaweza kwenda kuchukua physically hii ni opportunity nzuri ...kwa kawaida binafsi huwa nanunua vifaranga ao kwa 2500 kwa kifaranga na muda wa kusubiri ni mrefu (wa silverlands) kama wakati huu hawna product had october
 
Ila mnawatesa sana kuwafungia humo
 
Mchanganuo mzuri sana mkuu🙏
 
Hiki ndio nilikuwa nataka na mimi jamaa wameniambia kwa sasa vifaranga haba na vinasimama kwa 3000/= kimoja .Ngoja niendelee kuchakata na kuongeza ongeza pesa.
 
Hiyo ni kampuni gani inauza kifaranga kwa 3000?
Hiki ndio nilikuwa nataka na mimi jamaa wameniambia kwa sasa vifaranga haba na vinasimama kwa 3000/= kimoja .Ngoja niendelee kuchakata na kuongeza ongeza pesa.
 
Bro sio kweli kuku 500 wa miezi 3 wale laki 4 tu!! Nimefuga na ninafuga. Kuku 500 hadi kutaga isipungue mil 6
 
Bro sio kweli kuku 500 wa miezi 3 wale laki 4 tu!! Nimefuga na ninafuga. Kuku 500 hadi kutaga isipungue mil 6
Wanakula tsh ngp kwa mwez mkuu,,,na unawalisha gram ngp per day wakiwa na miez mi3....tubadirishane ujuz nimeestimate cause chotara 200wa umri huo binafs huwa natumia lak 2 per month
 
Mkuu nina mpango wa kufanya huo mradi, naomba unifahamishe yafuatayo. Kwa sasa ni kampuni gani nzuri inatoa vifaranga wazuri hasa hawa wa mayai (layers), kifaranga kimoja ni bei gani kwenye hiyo kampuni. Umedai kwa vifaranga 500 mfuko wa shati iwepo 6M ni sawa, je kwa hao vifaranga wakianza kutanga hutoa trei ngapi kwa siku na wanadamu kwa wastani huo kwa muda gani?
Bro sio kweli kuku 500 wa miezi 3 wale laki 4 tu!! Nimefuga na ninafuga. Kuku 500 hadi kutaga isipungue mil 6
 
Kampuni ni nyingi lakini Silverland ndio baba lao. Kuku 500 tray 1 1per day ni uhaiika
 
Fanya majaribio kwanza huanze na kuku 100 biashara ya kuku wa mayai, inategemea mkono wa mtu na bahati sio kingine.
Usipende kujaribu best🥳 Fanya kweli👏
Watafiti walishagundua kuku na biashara yake kiujumla inalipa sana,,
Changamoto ni utekelezwaji,,
Kuku bei ni ya kawaida sana ila matunzo from housing structures(Mabanda yanayohitajika yakidhi vigezo), vaccination (chanjo) and Feed Ration Formulation(Mchanganyiko Bora wa chakula kulingana na umri...

Pitia mwongozo wa hicho kitabu 🚂🚂🚂
 
Attachments

Kuku 500 kutoa trei 11 kwa siku bado ni kidogo na ni hasara kwa mfugaji, kuku 500 inapaswa angalau watoe trei 14 mpaka 15 kwa siku.
Kampuni ni nyingi lakini Silverland ndio baba lao. Kuku 500 tray 1 1per day ni uhaiika
 
Umesema ukweli, sekta ya kilimo na ufugaji ni sekta zinazo lipa sana. Endapo ufugaji utazingatia elimu husika, mtaji na muda hakika ni mradi mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…