INAUZWA Tunauza Vitu mbalimbali

INAUZWA Tunauza Vitu mbalimbali

Azam king'amuzi bila dishi
Bei 115,000/=
Location Goba
Piga 0688942700

IMG_20220626_130713_962.jpg
IMG_20220626_130747_970.jpg
IMG_20220626_130826_921.jpg
 
Hichi kidude ntakinunua siku nkiowa ila sasa nakula movie kwanza kwa hard Disc.
 
Sio mbaya maana now zimepanda mpk 210000..ungewahi kupost siku moja baada ya 22/06 ningeichukua..mshahara ushaisha nimebaki na 50k tu labda sikilizia week hii TU force Jambo flan likitiki naichukua kwa 120000
Kama itakuwa hujapata mteja
 
Hizo unazosemea wewe unapata hadi dish
 
Back
Top Bottom