el pincaso
Member
- Dec 13, 2016
- 67
- 55
- Thread starter
- #21
Inategemea na mrad cuz heka mojo Ni sawa na sqmiters 4045...Sasa miradi yetu inaanzia shiling elfu 10000 na kuendelea so heka moja Ni sawa na milioni 40 hv....ambayo utailipa taratibu kwa miezi 15 ambapo hati Ni juu yetu...Kwa kigamboni kiwanja cha eka 1 Bei gani?