Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki bado kipo?
- Ukubwa wa kiwanja: 500 Sqm.
- Eneo: Salasala Mwisho wa lami
- Bei: Tshs 12,000,000 (Milioni 12)
- Kimepimwa.
- Call: 0742141467View attachment 2457304
Hivi viwanja viko mabwepande sehem gani?VIWANJA MABWEPANDE ( BUNJU )
Mita 20 × 20 - Tshs 5 Milioni
- Viwanja vina document kutoka serikali ya mtaa, havina hati ya wizara.
- Maeneo yamepimwa na kutengwa kwaajili ya makazi.
- Viwanja Vipo vya ukubwa tofauti
Mita 20 × 30 - Tshs 7.5 Milioni
Mita 20 × 40 - Tshs 10 Milioni
Mita 30 × 30 - Tshs 8 Milioni
___________________________
KWA HUDUMA YETU
CALL & WHATSAPP: 0716442950
Hivi ukisema kiwanja safi unamaanisha kinesafishwa kwa kulimwa au safi nini?Karibu Ujipatie Kiwanja Safi
Square meter 800 (? *?) Mbona hamueleweki?!KINAUZWA KIWANJA TABATA KIFURU
_____________________
ENEO: Tabata Kifuru
_________
BEI: - Tshs 28 Milioni
_________
UMILIKI: Kimipimwa kina offer.
_________
UKUBWA WA VIWANJA: Sqm 800.
________
HUDUMA:
Umeme Tanesco upo.
Maji Dawasa yapo.
Huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi.
_________________
WASILIANA NASI :
Simu | whatsApp @ 0716442950View attachment 2578747View attachment 2578748
bunjuuuuuuuuuuuu. huyu dalali anataka na yeye apate kiwanjaMsongola, mvuti, vikindu,kisemvule na kibamba,kiluvya,pugu kivule,chanika, chamazi hizo ni sehemu Kwa uchache utapata Kwa bei nafuu.....
Mkuu 65m Kwa Hilo eneo la Bunju maporini tafakari kidogo...
Janja janja ya nyani.....🤓🤓🤓🤓bunjuuuuuuuuuuuu. huyu dalali anataka na yeye apate kiwanja
Madalali wa dar bana, eti Kuona kiwanja 30,000/=KINAUZWA KIWANJA
Mahali: Mabwepande Polisi
Bei: ni Tshs Milioni 12 ( 12 Milioni )
_____________
Kimepimwa, hati bado
Ukubwa sqm 540 ( 20m × 27m )
Call & Whatsapp _ 0716442950
Kuona Kiwanja _ Tshs 30,000View attachment 2648967
Unakuta na nauli unalipa wewe.... Utapeli kabsaMadalali wa dar bana, eti Kuona kiwanja 30,000/=
Bunju sio mjini... Kule mpaka nyani wapooTafuta pesa kijana, mjini wanaishi wenye pesa.