Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Itakuwa kwa BibiTabata kubwa, tabata ipi, kituo gani unashuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa kwa BibiTabata kubwa, tabata ipi, kituo gani unashuka?
olewa na mimi uwe mama mwenye nyumba hahahahahaHaa hiyo bei ya kiwanja pekee? Hivi wengine siku tutajenga kweli😀
Ahsante baba tunaoana lini sasa😀olewa na mimi uwe mama mwenye nyumba hahahahaha
Naomba kuuliza mfano nimeinunua hii nyumba na kiwanja chake hapo hapo nikaenda bank kukopa kwa dhamana ya hiyo myumba unaweza niambia nitavuta mkwanja bei gani alafu rudi hapo juu usome hiyo figur ulioandika. Kweli kigamboni mbutu 35m sasa kibugumo mji mwema kibada shangwe utauza kwa bei gani mkuu. Au mimi ndio sijui thamani ya viwanja na jengo kama hilo.Eneo: Kigamboni, Mbutu Kichani
Ukubwa wa kiwanja: 676 Sqm (Mita 26 × 26)
Bei: 35 Milioni
.
Kiwanja Kimepimwa na kina mawe hati ya wizara bado, Ukinunua hati inatoka kwa jina lako. Document za mauziano za serikali ya mtaa zipo.
Nyumba ina vyumba 3 kimoja masta, Sebule, Jiko Open, Dinning, Choo ndani public.
Kiwanja kipo eneo nzuri kwa makazi na biashara, Kipo barabarani na jilani na chuo kipya cha afya, huduma zote zipo umeme na maji vipo
Maelezo zaidi: 0716442950
View attachment 2659466View attachment 2659467
Hata mm nimeshangaa kwakweli. Akikujibu naomba unitagi pleaseNaomba kuuliza mfano nimeinunua hii nyumba na kiwanja chake hapo hapo nikaenda bank kukopa kwa dhamana ya hiyo myumba unaweza niambia nitavuta mkwanja bei gani alafu rudi hapo juu usome hiyo figur ulioandika. Kweli kigamboni mbutu 35m sasa kibugumo mji mwema kibada shangwe utauza kwa bei gani mkuu. Au mimi ndio sijui thamani ya viwanja na jengo kama hilo.
Tufanye kiwanja ni 10 m kujenga hilo pagara tufanye 10m haya kupima tufanye 5m haya hebu na ww sema gharama halisi za hilo eneo na kujenga kwa huko mbutu mchanga wa bure kabisa tofali umezichukua mbali sana ni pale dege haya tupe mchanganuo wako dalali. Na ukumbukr hapo nimesema tufanye ila bado nikiamua kumuweka fundi nikamlipa kwa tofali bado hiyo nyumba haifiki 10m kwa ujenzi wa mbutu na maeneo kuanzia kibugumo kwenda mbele. Na kuna kitu kinaitwa value for money je hapo kipo kweli au unataja 35 as if hakuna opption nyingineJibu maswali haya kwanza
Gharama za kiwanja ukubwa huo ? _
Gharama za ujenzi wa nyumba hadi ilipofikia ?_
Gharama za upimaji wa kiwanja ?_
Nyumba ya vyumba3 isivuke 10M?Tufanye kiwanja ni 10 m kujenga hilo pagara tufanye 10m haya kupima tufanye 5m haya hebu na ww sema gharama halisi za hilo eneo na kujenga kwa huko mbutu mchanga wa bure kabisa tofali umezichukua mbali sana ni pale dege haya tupe mchanganuo wako dalali. Na ukumbukr hapo nimesema tufanye ila bado nikiamua kumuweka fundi nikamlipa kwa tofali bado hiyo nyumba haifiki 10m kwa ujenzi wa mbutu na maeneo kuanzia kibugumo kwenda mbele. Na kuna kitu kinaitwa value for money je hapo kipo kweli au unataja 35 as if hakuna opption nyingine
Hata hilo unalo🤔Nyumba au Pangale😱
Omba Moderator wabadilishe heading isomeke "Pagale linauzwa Mbutu- Kigamboni"Eneo: Kigamboni, Mbutu Kichani
Ukubwa wa kiwanja: 676 Sqm (Mita 26 × 26)
Bei: 35 Milioni
.
Kiwanja Kimepimwa na kina mawe hati ya wizara bado, Ukinunua hati inatoka kwa jina lako. Document za mauziano za serikali ya mtaa zipo.
Nyumba ina vyumba 3 kimoja masta, Sebule, Jiko Open, Dinning, Choo ndani public.
Kiwanja kipo eneo nzuri kwa makazi na biashara, Kipo barabarani na jilani na chuo kipya cha afya, huduma zote zipo umeme na maji vipo
Maelezo zaidi: 0716442950
View attachment 2659466View attachment 2659467
Piga hesabu na ukihesabu vyumba utapigwa.Nyumba ya vyumba3 isivuke 10M?
Na huo msingi una miaka mingapi.Pagale ni nyumba ya muda mrefu iliyotelekezwa
Hii Nyumba mpya kabisa haina ata miaka 2, hapo bado finishing tu.
Kwa mahesabu yapi bhana yaani kupanga tofali 15m alooo unachekesha ww na kama umetoa hiyo labda ulikua unajengea mchanga wa mweziniBora umwambie wewe, hapo ilipofikia zaidi 15+M imekata..
Dadaangu sema Pagale sio Pangale.Nyumba au Pangale😱
Hicho kiwanja kwa huko hakizidi 8MJibu maswali haya kwanza
Gharama za kiwanja ukubwa huo ? _
Gharama za ujenzi wa nyumba hadi ilipofikia ?_
Gharama za upimaji wa kiwanja ?_