Plot4Sale Tunauza viwanja Kibaha

Plot4Sale Tunauza viwanja Kibaha

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
TUNAUZA VIWANJA
ENEO: Kibaha Misugusugu, Kilomita 2 toka morogoro road.
_________
MALIPO: Kwa awamu ndani ya Miezi 6.
_________
BEI: Taslimu - Tshs 10,000 @1Sqm, Awamu - Tshs 12,000 @1Sqm
___
UMILIKI: Vimepimwa, Unapewa hati baada ya malipo.
________
UKUBWA WA VIWANJA:
________________________
Viwanja vina ukubwa tofauti _ kuanzia Sqm 266 hadi 715 Sqm.

HUDUMA:
__________
Umeme Tanesco upo.
Maji Dawasa yapo.
Viwanja Vipo karibu na shule ya misugusugu.
Huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi.
__________________
Simu | whatsApp : 0716442950
Screenshot_20230405_114051_Instagram.jpg
View attachment 2577182
 
TUNAUZA VIWANJA
ENEO: Kibaha Misugusugu, Kilomita 2 toka morogoro road.
_________
MALIPO: Kwa awamu ndani ya Miezi 6.
_________
BEI: Taslimu - Tshs 10,000 @1Sqm, Awamu - Tshs 12,000 @1Sqm
___
UMILIKI: Vimepimwa, Unapewa hati baada ya malipo.
________
UKUBWA WA VIWANJA:
________________________
Viwanja vina ukubwa tofauti _ kuanzia Sqm 266 hadi 715 Sqm.

HUDUMA:
__________
Umeme Tanesco upo.
Maji Dawasa yapo.
Viwanja Vipo karibu na shule ya misugusugu.
Huduma zote muhimu zinapatikana kwa urahisi.
__________________
Simu | whatsApp : 0716442950View attachment 2577183View attachment 2577182
Kibaha ni wilaya ya pwani nyie hamna mradi ulioko mkoa wa Dar ili tupate huduma za jiji.
 
Wilaya ya kibaha inashambuliwa sana
Wenye upeo washaanza kuwekeza huko
 
Ni kweli kibaha ni pazuri ila bei inakuzwa na madalali
Madalali ndio chanzo cha matatizo. Wilaya ya kibaha kuna ardhi kubwa sana sioni haja ya mabei makubwa hivyo. Labda kama ni location nzuri kibiashara.
 
Ni kweli kibaha ni pazuri ila bei inakuzwa na madalali
Ujio wa reli ya SGR, Bandari kavu vigwaza, Industrial park kwala na uwekezaji mkubwa unaoendelea kwa ujumla mkoa wa pwani , Unaongeza thamani
 
Back
Top Bottom