Plot4Sale Tunauza viwanja Kigamboni

Plot4Sale Tunauza viwanja Kigamboni

View attachment 2226515
Ramani ya viwanja,hivyo vyenye tick tayari vishauzwa visivyo na tick vipo available unaweza kuchagua chchte na ukaenda site kuona
hivi viwanja ni havija pimwa, hivyo una wezaje kuwa aminisha wenzio (wateja) kuwa wata pata na hati? maana huu mchoro sio wa viwanja vilivyo pimwa...
 
hivi viwanja ni havija pimwa, hivyo una wezaje kuwa aminisha wenzio (wateja) kuwa wata pata na hati? maana huu mchoro sio wa viwanja vilivyo pimwa...

Mkuu viwanja vimepimwa,angalia vizuri kila kiwanja kina sq meter zake ,kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini ujionee.Ahsante
 
Mkuu viwanja vimepimwa,angalia vizuri kila kiwanja kina sq meter zake ,kwa maelezo zaidi unaweza fika ofisini ujionee.Ahsante
mzee naona una kuwa mbishi au ahuelewi hii taaluma...
1dbf84f1203f69d0194f822365eb4fb08e258ec2.jpg

..........
6f1b6edfa28d3a230fb3f3281ee409bd18494041.jpg

mmmmmmmmmmmm
22aed85b9b88caa5fde706854bd378519a81b366.jpg

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

1789e01c2c28f16e382795ce9c5320acbd7a5f27.jpg

nnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
download.jpg

mmmmmmmmmmmmmmmmmm
images (1).jpg

nnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
images (2).jpg

mmmmmmmmmmmmmmmm
images (3).jpg

images.jpg


nime kuwekea picha za viwanja vilivyo pimwa uweze kujionea, alafu ujicheki uliyoweka wewe ni ya viwanja vilivyo pimwa?
 
🫱[emoji2536]‍🫲[emoji2536]Mipango Inaenda na Vitendo Anzaa Week Yako Kwa Kumiliki Ardhi Na Trust Solution Company Ltd.
[emoji1753]Sababu TRUST SOLUTION COMPANY LTD Tumekuletea Mradi Huu Upo KIGAMBONI BUYUNI [emoji95], Manispaa Ya KIGAMBONI.
[emoji736]MRADI UPO METER 200 KUTOKA BARABARA KUU
[emoji736]KM 1 KWENDA BAHARINI (1KM TO THE BEACH)
[emoji736] Square Meter 1 Cash 6500 na Mkopo Ni 8500 .
[emoji736] Bei nzima ya kiwanja 1,960,00 Tu(Sqm 302) Ambapo Kila mwezi Malipo 143,000 tuh (Miezi 18)
[emoji736] Eneo ni Tambarare , Huduma zote za kijamii [emoji2515]
[emoji736] UMEME [emoji366], MAJI [emoji97] Na MAKAZI [emoji537][emoji536]
[emoji736] HATI KUTOKA WIZARANI LAZIMA.

[emoji625]Malipo Yetu Ni Ya Aina Mbili Cash na Installment (Kwa muda wa Miezi 18)
Kwa Mawasiliano [emoji338] +255714432091

N:B KUKUHUDUMIA KILICHO BORA NI JUKUMU LETU [emoji1753], ANDAA KESHO YAKO NA KWA FAIDA YA VIZAZI VYAKO.

#KigamboniKumenoga[emoji91]#KigamboniYaViwanda #RealEstate #AndaaMakazi #LipaKidogoKidogo #ViwanjaKigamboni #DalaliKigamboni #LipakidogokidogokwaMaendeleoYako
#ViwanjaVilivyopimwa
View attachment 2226505
View attachment 2226506
Mkuu, Kigamboni ndio wilaya kubwa zaidi Dsm, na ni tofauti na wilaya nyingine za Dar ambazo majina ya wilaya yanabebwa na majina ya vitomgoji. Ni vema ukatueleza viwanja vipo eneo gani badala ya kueleza kwa ujumla.

Vv
 
Back
Top Bottom