misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Kibosho 1200 bei gani?MAENEO YOTE YA MOSHI MPAKA ROMBO WILAYA , NA SEHEME KAMA KIBOSHO , BOMANG'OMBE VIWANJA VIPO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibosho 1200 bei gani?MAENEO YOTE YA MOSHI MPAKA ROMBO WILAYA , NA SEHEME KAMA KIBOSHO , BOMANG'OMBE VIWANJA VIPO
poaNipigie simu Kuna mteja anahitaji maeneo hayo ya east Africa......0672701329
Kibosho weka pricelist ili mtu awe na optionVipi kibosho road /shine , au mji wa kibosho juu kule ??
Nimeuliza hivi Kwa sababu Bei inatofautiana , kumbuka kibosho road/shine IPO KARIBU na barabara kuu ya kwenda arusha
UPDATESMajengo Kwa mtei ya juu...hapa Moshi MJINI Kuna kiwanja Cha ukubwa wa 50x50 kinauzwa....Bei millioni 45 , kinafaa sana Kwa ujenzi wa FREMU maana kiwanja kinatazama barabara ya lami ya dsm..KARIBU for more. 0672701329..
Kipo?Natakadocuments kama zipi?
mkataba niliyouziwa mimi upo na kina maji kabisa ya idara ya maji kwa majina yangu
kishaenda mkuuu juzi tuKipo?Nataka