Zinauzwa, 3 Bedrooms House & Frame 3, Goba - Dar es Salaam
.
• Mahali: Goba Mpakani, kilomita 6 kutoka Goba njia 4
• Hali ya nyumba na fremu zake: Nzuri
• Bei: TZS 55,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
chumba kimoja master, viwili vya kawaida • sebule • jiko • washroom ya jumuiya • uzio • malumalu sakafuni • gypsum darini • makabati jikoni • madirisha vioo • maegesho ya gari • maji • umeme luku • mitaa mizuri kibiashara • kilomita 3 kutoka Madale mwisho na 9 kutoka Mbezi stendi ya Magufuli • daladala Sh 500 kutoka Mbezi stendi ya Magufuli