Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Hawajafanyia matusi hilo pagala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia isije ikawa wewe ndo mjinga usiye jua maanaMil 100? Ni mjinga pekee ndo anaweza kutoa hiyo hela
Ina thamani ndo maana hunaDuh , milioni 100 kumbe sasa hivi haina thamani
Wamefanyia. Mama yako na basha wake, ukapatikana weweHawajafanyia matusi hilo pagala?
Mkuu kwa Kifupi umenisikitisha. Id yako imebeba jina la Biashara yako halafu kwa kutojua au kwa maksudi unaanza kujibizana matusi live. Unaikosea heshima Nembo na Jina Biashara yako vinginevyo utaonekana wewe na Kampuni yako hamna maaana na hapa JF au pengine popote ukiweka bandiko la Biashara yako utaoenekana Msela/ Mhuni fulani. Kuna wakati unapaswa kumeza Ufahari wako ili ajenda yako ipite. Nashauri hoja za Kejeli zipotezee na hatimaye wenye nia thabiti watajitokeza lkn ukianza kutoa majibu machafu utaanguka. Ni ushauri tu MkuuWamefanyia. Mama yako na basha wake, ukapatikana wewe
Usishtuke ndio tumesharudi huko.....100,000,000 Igweeee
Nilibahatika kununua viwanja wakati ule aliposema vipimwe watu wagaiwe ili walipe kodi.Usishtuke ndio tumesharudi huko.....
"mtamkumbuka kwa mazuri tu"
Sijui Kama atakuelewa mkuu the hard headed never learnsMkuu kwa Kifupi umenisikitisha. Id yako imebeba jina la Biashara yako halafu kwa kutojua au kwa maksudi unaanza kujibizana matusi live. Unaikosea heshima Nembo na Jina Biashara yako vinginevyo utaonekana wewe na Kampuni yako hamna maaana na hapa JF au pengine popote ukiweka bandiko la Biashara yako utaoenekana Msela/ Mhuni fulani. Kuna wakati unapaswa kumeza Ufahari wako ili ajenda yako ipite. Nashauri hoja za Kejeli zipotezee na hatimaye wenye nia thabiti watajitokeza lkn ukianza kutoa majibu machafu utaanguka. Ni ushauri tu Mkuu
Kuna kanuni moja wawekezaji tunaitumia inasema hv "the best time to buy is when there is blood in the treet"Nilibahatika kununua viwanja wakati ule aliposema vipimwe watu wagaiwe ili walipe kodi.
Mungu anisaidie siuzi bali ninaongeza. Juzi bush huko kijijini alikozaliwa mama yangu. Ni milimani kuna maji 24/7. Nimepata kiwanja heka moja 2.5m Nikasema naam, juzi tu ningenunus kwa laki tano.Kuna kanuni moja wawekezaji tunaitumia inasema hv "the best time to buy is when there is blood in the treet"
kama ulifanikiwa kununua viwanja kwa bei chee wakati wa Magu upo vizuri manake utauza kwa bei kubwa sana kipindi hichi chenye arufu ya mzoga aka msoga
Noted…Mkuu kwa Kifupi umenisikitisha. Id yako imebeba jina la Biashara yako halafu kwa kutojua au kwa maksudi unaanza kujibizana matusi live. Unaikosea heshima Nembo na Jina Biashara yako vinginevyo utaonekana wewe na Kampuni yako hamna maaana na hapa JF au pengine popote ukiweka bandiko la Biashara yako utaoenekana Msela/ Mhuni fulani. Kuna wakati unapaswa kumeza Ufahari wako ili ajenda yako ipite. Nashauri hoja za Kejeli zipotezee na hatimaye wenye nia thabiti watajitokeza lkn ukianza kutoa majibu machafu utaanguka. Ni ushauri tu Mkuu
Nimekuweka kiporo.Sijui Kama atakuelewa mkuu the hard headed never learns
Ndio maana siku hizi hizo noti nyekundu wanazifungia maua kwenye harusi!! Gavana wa BOT anakunywa mvinyo tu huku fedha ikipoteza thamani!!Duh , milioni 100 kumbe sasa hivi haina thamani
Tuwe na heshima kwa mama zetu tafadhali. Dalali gani mwenye maneno machafu kiasi hiki!!Wamefanyia. Mama yako na basha wake, ukapatikana wewe
Kasoma juu juu, inaonekana amepanick sana😂Mzee mbona una stress sana au hela hakuna...??😂😂
Makondeni naona unasoma mabondeni, au dalali nini wewe hata hujui kuwa maeneo karibu na hiyo nyumba ilipo kunaitwa Mbezi Makondeni njia ya kwenda Mbezi Zone, na ilipo hiyo nyumba ni kilimani na bondeni kuna lami ya kutoka kwa Yusufu kwenda round about ya Malambamawili...