Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Hapo cha muhimu ni eneo lkn nyumba hiyo ya kawaida sana sema interior design inavutia lkn materials zilizotumika hapo ni za low quality ukute. So my take is ata 100m apo inatosha.
 
Kumbuka uko hewani huna aridhi hapo, option nzuri in industrised nations but sio in informal economy kama yetu hi
Kibongobongo kuchochea milioni 400 kwenye property ambayo huna umiliki wa ardhi naona kama bado. Mara leo anajitokeza mwanasiasa anasema tunataka kupitisha bomba la mafuta hapo.. Halafu mkiuliza fidia mnaambiwa mpo kwenye road reserve
 
Sie wa watznis tuna penda kupanda miti miwili au migomba kwenye compound yako hapo hewani utapanda wapi, tena kumbuko umelipia 400m, huwezi hata kuchimba shimo la kuwekea takataka.
 
Sie wa watznis tuna penda kupanda miti miwili au migomba kwenye compound yako hapo hewani utapanda wapi, tena kumbuko umelipia 400m, huwezi hata kuchimba shimo la kuwekea takataka.
[emoji38][emoji38]
 
Hapo cha muhimu ni eneo lkn nyumba hiyo ya kawaida sana sema interior design inavutia lkn materials zilizotumika hapo ni za low quality ukute. So my take is ata 100m apo inatosha.
Material hayapimwi kwa macho namna hiyo.
Hiyo milioni 100 ukisimamia mwenyewe utajenga ya kwako
 
Ninacomment hivyo coz ni field yang na nina almost 15yrs in this industry so najua vzr nlichokisema na sijaminya maneno wala nn. Ww kwa sababu unauza na upate na ww hiyo 40m ya juu komaa, umei overvalue sana hiyo nyumba yako lkn kwa layman tu akiona atasema bonge la nyumba.
Material hayapimwi kwa macho namna hiyo.
Hiyo milioni 100 ukisimamia mwenyewe utajenga ya kwako
 
• Direction: Chama, Mikocheni A
• Rent: USD 1,500/month
• Term: 6 months
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
DOWNSTAIRS:
2 sitting rooms • dining room • modular kitchen • laundry room • reception • 1 common bedroom • 1 common washroom

UPSTAIRS:
1 master & 3 self contained bedrooms

AMENITIES:
fully furnished • wardrobes • ceiling fans • all rooms with ac • luku • water heater • 2 parking space • free water • free garbage collection • free swimming pool • free gym • free security
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

IMG20211123120956.jpg
IMG20211123115757.jpg
IMG20211123115823.jpg
IMG20211123115850.jpg
IMG20211123115923.jpg
IMG20211123120141.jpg
IMG20211123120217.jpg
IMG20211123120324.jpg
IMG20211123120520.jpg
IMG20211123120546.jpg
IMG20211123120726.jpg
 
• Mahali: Mbezi Luis, mita 400 kutoka stendi kuu ya Magufuli
• Hadhi ya Kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 1,202 sqm
• Ukubwa wa pagala: Self la vyumba vitatu vya kulala
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Bei: TZS 100,000,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
upande wa kushoto kama unatoka Morogoro • umeme na maji vipo • panafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara • panafikika majira yote kwa gari kubwa au dogo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
IMG_20211126_221441_722.jpg
IMG_20211126_221441_735.jpg
IMG_20211126_221441_751.jpg
IMG_20211126_221441_760.jpg
IMG_20211126_221441_765.jpg
IMG_20211126_221441_772.jpg
 
Back
Top Bottom