Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

• Mahali: Buguruni Malapa, mita 25 kutoka Uhuru Road
• Matumizi: Chuo (VETA)
• Ukubwa wa eneo: Mita za mraba (sqm) 416
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Bei: TZS 350,000,000
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
kilikuwa ni chuo (open school) chini ya elimu ya VETA • kina ofisi, madarasa, vyoo na facilities nyinginezo • unaweza kubadili matumizi ya eneo na kujenga apartments, n.k • maji na umeme vipo
NB: Kwa sasa operation za chuo zimehamia eneo jingine hivyo majengo ya chuo ndiyo yanayo uzwa.
Wote Karibuni
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
1634373747183.jpg
1634373804010.jpg
1634373864289.jpg
1634373938486.jpg
1634373975649.jpg
1634374072588.jpg
1634374133795.jpg
1634374179060.jpg
1634374259090.jpg
1634374319068.jpg

1634374133795.jpg

1634373975649.jpg
 
• Mahali: Bunju B, Kilomita 1 kutoka Bagamoyo Road
• Bei: TZS 17,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Saizi: Mita 40x35
• Nyaraka: serikali ya mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
kina uwiano mzuri • kinafikika majira yote • kinafaa kwa makazi • umeme na maji vipo • mazingira mazuri
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

IMG_20211022_212353_725.jpg
IMG_20211022_212353_731.jpg
IMG_20211022_212353_736.jpg
IMG_20211022_212353_741.jpg
 
Toa maelekezo vizuri.
Bunju B ina Mitaa.
Mfano Mcanada, kihonzile, Kwagugumaji.
Uwanja wa Simba.
 
• Mahali: Kifuru
• Hali ya nyumba: Imekamilika, bado finishing ndogo ndogo
• Bei: TZS 185,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 730 sqm
• Nyaraka: Hati
.
Call/Watsap: +255767157788
.
• juu kuna vyumba viwili master, viwili vya kawaida; sebule; sehemu ya kulia chakula; chumba cha kusomea; washroom ya jumuiya; jiko na stoo
• chini kuna chumba, sebule na stoo kubwa 2 ambazo zinaweza kutumika kama vyumba
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

1635061462559.jpg
1635061503725.jpg
1635061371975.jpg
1635061554093.jpg
1635061612085.jpg
IMG-20210620-WA0177.jpg
IMG-20210701-WA0189.jpg
IMG-20210701-WA0190.jpg
IMG-20210701-WA0188.jpg
IMG-20210701-WA0196.jpg
IMG-20210701-WA0213.jpg

1635061413572.jpg
 
• Mahali: Mbezi Luis Center karibu na stendi kuu
• Hali ya nyumba: Nzuri, ina wapangaji
• Bei: TZS 90,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa na kupandwa mawe
• Ukubwa wa kiwanja: 580 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
• ipo mita 20 kutoka barabara ya lami ya Maramba Mawili
• nyumba ina apartment 4, kila apartment ina chumba, sebule na choo chake
• apartment zote zina wapangaji na kila mpangaji analipa Sh 130,000 kwa mwezi • umeme na maji vipo
• inafaa kwa uwekezaji kama kupangisha, lodge, n.k
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

IMG-20211028-WA0236.jpg
IMG-20211028-WA0235.jpg
IMG-20211028-WA0234.jpg
IMG-20211028-WA0233.jpg
IMG-20211028-WA0237.jpg
 
Bongo neno 'apartment' tunalitumia vibaya sana...

Anyway kila la kheri na biashara yako, bila shaka hizi nyumba zipo karibu na Makondeni, kuna picha moja kule bondeni inaonekana ile lami ya kutoka kwa Yusufu kwenda Malambamawili...
 
Wewe huna lolote ni mhatibifu tu.
Hiyo nyumba inaonekekana hapo ipo kwenye kilima, wewe unasema iko mabondeni?!!
Tuambie maana ya apartment.
Kwa akili yako ndogo unafikiri apartment zinapatikana kwenye magorofa
 
Maneno makali[emoji3064]
 
Wewe huna lolote ni mhatibifu tu.
Hiyo nyumba inaonekekana hapo ipo kwenye kilima, wewe unasema iko mabondeni?!!
Tuambie maana ya apartment.
Kwa akili yako ndogo unafikiri apartment zinapatikana kwenye magorofa

Mzee mbona una stress sana au hela hakuna...??😂😂

Makondeni naona unasoma mabondeni, au dalali nini wewe hata hujui kuwa maeneo karibu na hiyo nyumba ilipo kunaitwa Mbezi Makondeni njia ya kwenda Mbezi Zone, na ilipo hiyo nyumba ni kilimani na bondeni kuna lami ya kutoka kwa Yusufu kwenda round about ya Malambamawili...
 
• Holder: Bank
• Direction: Jamuhuri Street
• Plot Area: 1,013 sqm
• Plinth Area: 836 sqm
• Document: Title Deed
• Price: USD 6,500,000
• Viewing charge: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
BASEMENT FLOOR
• storage space
• control rooms
MEZZANINE FLOOR
• shops
• stores
FIRST - FOURTH FLOOR
• car parking
• washrooms
• offices
FIFTH - SIXTEENTH FLOOR
• apartments
• summit floor
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
IMG-20211102-WA0112.jpg
IMG-20211102-WA0109.jpg
IMG-20211102-WA0111.jpg
IMG-20211102-WA0110.jpg

IMG-20211102-WA0112.jpg
 
Back
Top Bottom