• Mahali: Kimara Suka, mita 5 kutoka Morogoro Road
• Hali ya nyumba: nzuri, ya kuhamia
• Bei: TZS 400,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 2000 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
juu ina vyumba vitano, chini vitatu (vyote self contained) • sebule 3 • dining 2 • jiko • washroom ya jumuiya • gereji • uzio • malumalu sakafuni • madirisha vioo (side hang wood frame) • paving • lami mpaka getini • maegesho ya gari • maji na umeme vipo
NB: Unaweza kufanya nyumba ya biashara kama hoteli, n.k
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea:
Bestates Tanzania
View attachment 1969150View attachment 1969151View attachment 1969152View attachment 1969153View attachment 1969154View attachment 1969155View attachment 1969156View attachment 1969157View attachment 1969158