Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba kuna hatari ya mmomonyoko wa udongo?🤔Mbona hilo bonde hujalipiga picha vzr?
Picha za muonekano kwa ndani?• Mahali: Mwisho wa lami
• Hali ya nyumba: Ya kuhamia
• Bei: TZS 15,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 400 sqm
• Nyaraka: Barua serikali ya mtaa
.
Call/Watsap: +255767157788
.
vyumba vitatu vya kulala • sebule • jiko • stoo • washroom ya jumuiya • haina uzio • gari inafika • umeme luku
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 1950898View attachment 1950899View attachment 1950900
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nyumba nimeipenda, nahitaji ila nasubiria mvua za masika nije
Ila hi nchi yetu ni taamu hapa bagamoyo jamaa angu anauza shamba lake ekari 20 kila ekari laki tano tu......wakati wewe unataka 180m kwa ekari moja tu.• Mahali: Luguruni, mita 150 kutoka barabara ya Morogoro
• Ukubwa: 5000 sqm
• Bei: TZS 180,000,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
upande wa kushoto kama unatoka Mbezi Louis • panafaa kwa yard ya mabasi, malori au mitambo. pia panafaa kwa ujenzi wa kanisa, nyumba za kupangisha au hostel za wanafunzi • panafikika majira yote kwa gari kubwa au dogo • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 1953607View attachment 1953608View attachment 1953609
Hiyo bei ni rahisi mpaka nimeshtuka.Ila hi nchi yetu ni taamu hapa bagamoyo jamaa angu anauza shamba lake ekari 20 kila ekari laki tano tu......wakati wewe unataka 180m kwa ekari moja tu.
Kaibie washamba• Mahali: Luguruni, mita 150 kutoka barabara ya Morogoro
• Ukubwa: 5000 sqm
• Bei: TZS 180,000,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
upande wa kushoto kama unatoka Mbezi Louis • panafaa kwa yard ya mabasi, malori au mitambo. pia panafaa kwa ujenzi wa kanisa, nyumba za kupangisha au hostel za wanafunzi • panafikika majira yote kwa gari kubwa au dogo • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 1953607View attachment 1953608View attachment 1953609
Sawa mbezi na bagamoyo sio sawa kuna umbali wa kilomita kama 40, Sawa bei zisiwe sawa sawa ila sio kwa tofauti ya 180m kwa ekari moja tu.Hiyo bei ni rahisi mpaka nimeshtuka.
Huwezi kufananisha hekari 100 za Bagamoyo ndanindani na hekari moja ya Mbezi Louis barabarani.
Hayo yatakua siyo maisha yanayozingatia ukweli.