Inauzwa, Nyumba ya Apartment 2, Mbezi Mwisho - Dar
.
• Mahali: Mbezi Luis Center, nyuma ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mkoani
• Bei: TZS 80,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 1,300 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
• kila apartment ina vyumba viwili (kimoja masta), sebule na jiko
• eneo lote limezungushiwa uzio na eneo ambalo halijajengwa ni kubwa kutosha kujenga nyumba nyingine ya vyumba vitatu
• pia kuna jengo pembeni ambalo awali lilitumika kama godown la kuhifadhia mazao
• maji dawasa na barabara ni nzuri, inapitika majira yote
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788