Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwani wewe umeiona nyumba zaidi ya baraza na paving mkuu?Ww ni wa mkoani bila shaka.
Kwa mikocheni hiyo Bei ni ndogo hata Kama kungekua hakuna nyumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe umeiona nyumba zaidi ya baraza na paving mkuu?Ww ni wa mkoani bila shaka.
Kwa mikocheni hiyo Bei ni ndogo hata Kama kungekua hakuna nyumba.
Sihitaji kuiona,kwa mikocheni hataa kama kiwanja kipo kitupu hiyo Bei ni sawa kabisaKwani wewe umeiona nyumba zaidi ya baraza na paving mkuu?
Location, locationSawa lakini sio (17x17)meter square., Eneo ni dogo sana. Jamani msicheze na milioni 200
Kwetu Mbande 228sqm 800,000/- huko ni MikocheniSqm 288 for 220m...sqm 1 kwa laki 8 kasoro...basi sawa
Unazijua bei za nyumba au unasema tu?Usikubali kutumika, tumia akili yako kifikiri, wewe unaona Kuna kitu Cha milioni 200 hapo!??, Nyumba imejengwa style ya kipindi cha mwinyi bado aluminum hazipo, hata kama hiyo apartment ingekuwa jirani na ikulu bado milioni 200 usingempata mtu. Viwango vyake vipo chini sana
kwa mikocheni kinachouzwa hapo ni kiwanja,so hiyo nyumba hata milioni 20 haifiki.Usikubali kutumika, tumia akili yako kifikiri, wewe unaona Kuna kitu Cha milioni 200 hapo!??, Nyumba imejengwa style ya kipindi cha mwinyi bado aluminum hazipo, hata kama hiyo apartment ingekuwa jirani na ikulu bado milioni 200 usingempata mtu. Viwango vyake vipo chini sana
Huyu huenda atakuwa anaishi huko kitongoji cha Misunkumilo- Katavi. (joking!!🤪🤪)Mikocheni? Afu useme 220Mil n kubwaa? Wee hauko serious.
Kupelekwa site kuona ni 30,000. Usafiri ni juu ya nani?
Anyway wengine hatuna pesa tunaishia kutazama na kusema hiiiii...
Ungemlipa tu kiroho-njema uonekane tajiri.😂Niliwai enda na dalali akawa anasema tuchukue bajaji ni kuzunguka tuu na bajaji hapo nalipa. Baadae anaomba site visit nikamuuliza na ile tuliyokua tunalipa ni nini? Aliwaka [emoji3]
Yaani hata mimi kwangu hesabu zinagoma. Maana ni 24.5 kwa 24.5I'm impressed by the use of land! 600sqm ameweza kutoa nyumba nne!