ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ni kama 20x30 hivi, kama ni mita zinatoka bila shida, naona mbele kuna nafasi ya kutosha tu. Watu wanajua kutumia ardhi vizuri.I'm impressed by the use of land! 600sqm ameweza kutoa nyumba nne!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama 20x30 hivi, kama ni mita zinatoka bila shida, naona mbele kuna nafasi ya kutosha tu. Watu wanajua kutumia ardhi vizuri.I'm impressed by the use of land! 600sqm ameweza kutoa nyumba nne!
Maisha hatufanani ndugu yangu!Unakuta mtu mmoja anamiliki vitu kama hivyo zaidi ya saba hapa nchini na vingine nje ya nchi mpaka vimekosa watumiaji.
Naomba kupita
Na kamwe hatutakuja kufanana. Mpaka uingie kwenye hiyo circle ya walio toboa inatakiwa kujikana nafsi haswa na nature iwe upande wakoMaisha hatufanani ndugu yangu!
Unahitaji kama 12 years uweze kurudisha hiyo USD 3m.kwa ivo mzigo mzima kabla ya kulipa Kodi za TRA ni kama bilioni saba hivi??
Kamisheni yako unalipwa na muuzaji ama mnunuzi?
Baada ya kununua 10% ya Wakili analipa nani?
Nimechangia kama kuchochea tu mjadala. Lakini kwa wenye hela zao bei bado ni "reasonable" hasa ukitilia maanani kwa kila "Unit" nane zilizopo kama kila moja inalipiwa dola za kimarekani 1,200 kama kodi kwa mwezi.
1200 x 8 x 12 =11,520 sawa na shilingi za kitanzania 264,960,000 kwa mwaka. Sio uwekezaji mbaya kwa wenye uwezo wa kifedha wa kuwekeza humo.
Na kama soko la nyumba litabaki kama lilivyo sasa!!Unahitaji kama 12 years uweze kurudisha hiyo USD 3m.
RidhwanUnakuta mtu mmoja anamiliki vitu kama hivyo zaidi ya saba hapa nchini na vingine nje ya nchi mpaka vimekosa watumiaji.
Naomba kupita
Even more than that.Ridhwan
exactly, na bila kusahau periodic maintenanceNa kama soko la nyumba litabaki kama lilivyo sasa!!
Sio rahisi kiasi hicho. Unawekeza Bilion kama saba si mchezo!!Hivi ndo vitu vya kuwekeza kwa matajiri. Hakuna stress. Pesa inaingia uhakika na mali inapanda thamani kila uchwao
Kuingia unaingia tu. Ila masharti ya mwanzo ndo magumu. Utaambiwa umtoe kafra mtu wako ama watu wako wa karibu sana kama wazazi mke na watoto tena wanakuchagulia. Baada ya hapo ni ruksa kutoa kafra yeyote unayetaka. Ikiwa mimi sipotezi muda nacheza tu na kina Etwege na Idugunde the witch fasterNa kamwe hatutakuja kufanana. Mpaka uingie kwenye hiyo circle ya walio toboa inatakiwa kujikana nafsi haswa na nature iwe upande wako
Wakati hule Jiwe anaingia ikulu 2015 matajiri wengi walinununua apartments haraka haraka kwa kumujofia jamaa kwasababu haeleweki. Kuna mmoja alinunua flat 20 kwa mpigo akawagawia mke na watoto wake.Even more than that.
Mkuu shukrani kwa kurejesha hii avatar picha tuliyoizoeaMaisha hatufanani ndugu yangu!
Alifanye vyema. Jiwe was unpredictable unaweza kuchomeka MASTERCARD yako utoe mpunga unaambiwa huduma imesitishwa ukizama ndani unaambiwa subiri tunashughulikia tatizo lako mara takukuru hao tra unaambiwa unadaiwa kodi sijui ya mwaka gani hukoWakati hule Jiwe anaingia ikulu 2015 matajiri wengi walinununua apartments haraka haraka kwa kumujofia jamaa kwasababu haeleweki. Kuna mmoja alinunua flat 20 kwa mpigo akawagawia mke na watoto wake.
The prince mwenyewe unaambiwa baada ya siku tatu Jiwe kuingia ikulu alienda eti aonane naye waongee akazuiwa getini. Jiwe alimaindi kichiz nakumuambia 'geriauti'.Alifanye vyema. Jiwe was unpredictable unaweza kuchomeka MASTERCARD yako utoe mpunga unaambiwa huduma imesitishwa ukizama ndani unaambiwa subiri tunashughulikia tatizo lako mara takukuru hao tra unaambiwa unadaiwa kodi sijui ya mwaka gani huko