yellow java
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 1,228
- 2,234
Utaenda kukiona mwenyewe...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo
Unafika madafu?• Mahali: Visiga Miwaleni. Mita 600 kutoka Morogoro Road
• Ukubwa: Mita za mraba (sqm) 2,100 (60 x 35)
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Bei: TZS 5,000,000
• Kupelekwa site kuona: TZS 30,000
.
maji na umeme vipo • barabara inapitika majira yote
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
View attachment 2338490View attachment 2338491View attachment 2338492View attachment 2338493
250m neenda chalize napata plot mbili za 50×50 barabarani na kujenga vituo vya mafuta viwili petrol station kwahiyo pesa na kubakiza......hapo hapo naanza kuingiza pesa beach plot ya nani ni limbukeni ya wazungu na nyie mkafuata• Mahali: Buyuni Pemba Mnazi
• Ukubwa: Mita za mraba (sqm) 4,000
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS Mil. 250
• Kupelekwa site kuona: TZS 30,000
.
Kiwanja kinatazama bahari • ufukwe ni wa mchanga mweupe • maji na umeme vipo • barabara inapitika majira yote
.
NB: Ukitaka kuuziwa nusu inawezekana
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook: @johmakazitz
Instagram: @johmakazitz
Twitter: @johmakazitz
View attachment 2342257View attachment 2342258View attachment 2342259View attachment 2342260View attachment 2342261View attachment 2342262View attachment 2342264View attachment 2342265
Milioni 90. Unakaribishwa250m neenda chalize napata plot mbili za 50×50 barabarani na kujenga vituo vya mafuta viwili petrol station kwahiyo pesa na kubakiza......hapo hapo naanza kuingiza pesa beach plot ya nani ni limbukeni ya wazungu na nyie mkafuata
Kwenye majengo ya kushare kuwa makini sana... kuna gharama za wote kama ulinzi, takataka etc... sasa kwa hiyo apartment, service charge kwa mwezi ni dola 300 aka 700,000tzs..... yaani ukishanunua kila mwezi utoe 700,000 ya kuishi kwenye nyumba yako!Hiyo Monthly service charge ndo nini