Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Advertise ya kwanza,kuna mtu anaonekana humo ndani hana kichwa,mengine utakutana nayo ukisha nunua...
Aisee mimi mwenyewe nimeogopa sana. Nimejiuliza hapa maswali sina majibu. Ni aidha kuna majini au jamaa ame edit picha hizi.
 
Nimesoma hii comment yako nimebaki nacheka tu. Hata akipiga hizo picha za nje pesa ya kununua unayo? Ila watu humu, kwa hiyo hapo huwezi kununua mpaka hizo picha???

Mil 25 wewe unaiona kwenye makaratasi tu tena ya zile bajeti za serikali
Wewe uvccm usifikiri kila mtu humu Jamii Forums anategemea hela za ufisadi za wazazi kama wewe.
 
• Mahali: Mbezi Msakuzi, nauli 500 kutoka Mbezi Luis Terminal
• Hali ya nyumba: Mpya
• Bei: TZS 40,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Hakijapimwa ila majirani wamepima
• Ukubwa wa kiwanja: 250 sqm
• Nyaraka: Barua serikali ya mtaa
.
mwendo wa dakika 5 kwa mguu kutoka Msakuzi mwisho • chumba kimoja master, viwili vya kawaida • sebule • jiko • washroom ya jumuiya • varanda ya mbele • haina uzio • gari inafika • umeme upo na maji ni ya kuvuta
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara na #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook, Instagram, Twitter & Google: @dalalirealty
 
Miliki Kiwanja Kigamboni, Dar. Lipa Kidogo Kidogo kwa Muda wa Mwaka Mzima
.
• Ni mradi wa viwanja vya makazi upo Kigamboni nyuma ya Avic Town
• Kilomita 25 kutoka Ferry, 1 kutoka barabara kuu ya Ferry-Kimbiji na 1 kutoka baharini.
• Ukubwa ni sqm 1,127-3,897.
• Bei ni TZS 22,000@sqm
• Umeme upo site. Maji ya Dawasa yatafika. Pia ukichimba kisima, maji ni matamu na hayako mbali kwenda chini
• Barabara inapitika kwa gari zote na misimu yote. Ndiyo inayotumika na staff na wateja wa Protea Hotel
.
Piga simu kwenda kuona.
Karibuni
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara na #viwanda:
Call/Watsap: +255767157788
Facebook, Instagram, Twitter & Google: @dalalirealty
.
 
Vimebaki vichache.
Karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…