Kasri Homes Tz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 501
- 694
- Thread starter
- #41
Tranfer ni asilimia 3-7 ya beiSawa..
Ukijumlisha gharama ya transfer itakuwa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tranfer ni asilimia 3-7 ya beiSawa..
Ukijumlisha gharama ya transfer itakuwa ngapi?
Kumbe walio sema kuona ni bure walikosea• Direction: Mkwepu Street
• Condition: Good
• Price: US$ 40,000 (without transfer)
• Viewing charge: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
unfurnished • 2nd floor • no lift • 2 common bedrooms • 1 common washroom • sitting room • store room • terrazzo floor • wardrobe • ceiling fans • air conditioning units • seperate luku meter • main supply water • water reserve tank • 5 minutes drive to social services
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 1918060View attachment 1918061View attachment 1918062View attachment 1918063View attachment 1918064
Hicho kiasi .9bn sawa sawa na $430,000 unanua unapata kiwaja kikubwa hapa Johannesburg Street kikiwa na nyumba ya biashara tayari, nyie hamjui kuthamanisha aridhi yenu mna over rate• Mahali: Mapipa, barabara ya Morogoro
• Hadhi: imepimwa
• Ukubwa: mita za mraba (sqm) 350
• Nyaraka: hati
• Bei: TZS 900,000,000 au mbia wa kujenga apartments, offices, n.k
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
inatazama Morogoro Road • kuna nyumba ndani yake • inafaa kwa uwekezaji wa showroom, apartments, offices, n.k • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania View attachment 1920105View attachment 1920106View attachment 1920107
Mkuu hiyo sio 9bn ni milioni mia tisa yaani 9,000,000,000Hicho kiasi .9bn sawa sawa na $430,000 unanua unapata kiwaja kikubwa hapa Johannesburg Street kikiwa na nyumba ya biashara tayari, nyie hamjui kuthamanisha aridhi yenu mna over rate
Ameandika 900,000,000/-Hicho kiasi .9bn sawa sawa na $430,000 unanua unapata kiwaja kikubwa hapa Johannesburg Street kikiwa na nyumba ya biashara tayari, nyie hamjui kuthamanisha aridhi yenu mna over rate
Ha ha umakini muhimu. Huyo uliemjibu kaandika point.9b yaani 0.9b yaani 900mAmeandika 900,000,000/-
(Milioni mia 9) sio 9bn.
Kaandika point9b yaani 0.9b yaani 900mMkuu hiyo sio 9bn ni milioni mia tisa yaani 9,000,000,000
Hii iko mtaa gani? Dossi,Tosheka,Idrissa au?• Mahali: Mapipa, barabara ya Morogoro
• Hadhi: imepimwa
• Ukubwa: mita za mraba (sqm) 350
• Nyaraka: hati
• Bei: TZS 900,000,000 au mbia wa kujenga apartments, offices, n.k
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
inatazama Morogoro Road • kuna nyumba ndani yake • inafaa kwa uwekezaji wa showroom, apartments, offices, n.k • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania View attachment 1920105View attachment 1920106View attachment 1920107
Kiongozi hujaona kaandika .9b?.... .9b = 0.9b = 900,000,000/=Mkuu hiyo sio 9bn ni milioni mia tisa yaani 9,000,000,000
[emoji23][emoji1787] Asee!!Ha ha umakini muhimu. Huyo uliemjibu kaandika point.9b yaani 0.9b yaani 900m
Kuna point .9bn ni sawa sawana 0.9bn ndo nimequote sio 9bnAmeandika 900,000,000/-
(Milioni mia 9) sio 9bn.
Mkuu upo sawa kabisa.Kuna point .9bn ni sawa sawana 0.9bn ndo nimequote sio 9bn
Poa mkuu haina shida.....ila wanao tuudhi ndo hao wana thamanisha aridhi ya bongo bila kujua world Market on commercial plots wana over rate bei.Mkuu upo sawa kabisa.
Tozo tu za miamala zimenivuruga [emoji23][emoji23][emoji1787]
sikuiona hiyo nukta (point)..
Tusameheane tu mkuu!
Hata kama unaweka guest/ hotel ya 3 star kwa gharama ya 3bn shilling yenye vyumba vya self 20..... na vinajaa kila siku 30,000@ kwa kila siku utakusanya 600,000-18% vat 600,000 -108000= net income 492000 ×30×12= itakuchukulia karibia miaka 40 kurudisha pesa yako,...... hata mkopo wa IMF/World bank ni miaka 20 kulejeshwa iweje ni wekeze niaze kupata faida baada ya miaka 40.Mbona Eneo dogo sana Pesa nyingi.
Milion 900,000,000/= si mchezo hutapata mteja kamwe.
Mbona pia umeandika bilioni tisa?Mkuu hiyo sio 9bn ni milioni mia tisa yaani 9,000,000,000