Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Kumbe walio sema kuona ni bure walikosea
 
• Direction: Mindu Street
• Gondition: Good
• Document: Title deed
• Price: US$ 85,000 (transfer not included in price)
• Viewing charge: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
fairly used • lift • power backup generator • furnished • 1 master & 2 common bedrooms • 1 common washroom • living room • dinning area • modular kitchen • balcony • wardrobes • ceiling fans • air conditioning units • water heaters • backup water system • surroundings cleaners • car parking • 24/7 security guards & CCTV surveillance • good neighbourhood
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

 
• Mahali: Mapipa, barabara ya Morogoro
• Hadhi: imepimwa
• Ukubwa: mita za mraba (sqm) 350
• Nyaraka: hati
• Bei: TZS 900,000,000 au mbia wa kujenga apartments, offices, n.k
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
inatazama Morogoro Road • kuna nyumba ndani yake • inafaa kwa uwekezaji wa showroom, apartments, offices, n.k • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
Hicho kiasi .9bn sawa sawa na $430,000 unanua unapata kiwaja kikubwa hapa Johannesburg Street kikiwa na nyumba ya biashara tayari, nyie hamjui kuthamanisha aridhi yenu mna over rate
 
Hicho kiasi .9bn sawa sawa na $430,000 unanua unapata kiwaja kikubwa hapa Johannesburg Street kikiwa na nyumba ya biashara tayari, nyie hamjui kuthamanisha aridhi yenu mna over rate
Ameandika 900,000,000/-
(Milioni mia 9) sio 9bn.
 
Hii iko mtaa gani? Dossi,Tosheka,Idrissa au?
 
Ha ha umakini muhimu. Huyo uliemjibu kaandika point.9b yaani 0.9b yaani 900m
[emoji23][emoji1787] Asee!!

Watu tumevurugwa na tozo halafu ye anaandika . bila 0...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aache uhuni! (Joke!)
 
Kuna point .9bn ni sawa sawana 0.9bn ndo nimequote sio 9bn
Mkuu upo sawa kabisa.

Tozo tu za miamala zimenivuruga [emoji23][emoji23][emoji1787]
sikuiona hiyo nukta (point)..

Tusameheane tu mkuu!
 
Mkuu upo sawa kabisa.

Tozo tu za miamala zimenivuruga [emoji23][emoji23][emoji1787]
sikuiona hiyo nukta (point)..

Tusameheane tu mkuu!
Poa mkuu haina shida.....ila wanao tuudhi ndo hao wana thamanisha aridhi ya bongo bila kujua world Market on commercial plots wana over rate bei.
 
Tanzania very funny kwenye maswala real estate especial DAR kuna bei za viwanja au nyumba unahisi laabda wamekosea lkn ukweli ndio bei wanazo zitaka.
 
Mbona Eneo dogo sana Pesa nyingi.
Milion 900,000,000/= si mchezo hutapata mteja kamwe.
 
Mbona Eneo dogo sana Pesa nyingi.
Milion 900,000,000/= si mchezo hutapata mteja kamwe.
Hata kama unaweka guest/ hotel ya 3 star kwa gharama ya 3bn shilling yenye vyumba vya self 20..... na vinajaa kila siku 30,000@ kwa kila siku utakusanya 600,000-18% vat 600,000 -108000= net income 492000 ×30×12= itakuchukulia karibia miaka 40 kurudisha pesa yako,...... hata mkopo wa IMF/World bank ni miaka 20 kulejeshwa iweje ni wekeze niaze kupata faida baada ya miaka 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…