Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Si mchezo kwa kweli.
 
Yaani mita 15 kwa 19.. Ndio unauza mill.900 ??

Yaani hata nyumba ya vyumba vi 4.. Kiwanja hakitoshi
 
Vyumba 30 kwny kiwanja cha sq.350 ??

Kuwa serious kidogo.. Hyo hata vyumba vi 4 havifiki
 
Vyumba 30 kwny kiwanja cha sq.350 ?? Kweli mkuu kakiwaja ni kadogo sana naona huyu dalali akili zake haziko sawa 20×18=370sqm kwa kweli ata ukiamuwa kuwaka vyoo vya kulipia public toilet bado nikadogo sanaa.
 
Vyumba 30 kwny kiwanja cha sq.350 ??

Kuwa serious kidogo.. Hyo hata vyumba vi 4 havifiki
Kwa vyumba 30 anamaanisha litakuwa ni ghorofa. Pale kkoo vile viwanja vingi vina sqm 300 lakini ghorofa zaidi ya 10 zinajengwa
 
• Mahali: Luguruni, Kilomita 1.5 kutoka barabara ya Morogoro
• Hadhi ya Kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa: 2636 sqm (1352 + 1284)
• Nyaraka: Upimaji na Barua ya mauziano
• Bei: TZS 130,000,000
• Kupelekwa Kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
upande wa kulia kama unatoka Mbezi Luis • kuna nyumba self ya vyumba vitatu • umeme na maji vipo • panafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara • panafikika majira yote kwa gari kubwa au dogo • bodaboda Sh 1,000
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

 
• Direction: Mfaume Street
• Plinth Area: 180 sqm
• Document: Title Deed
• Price: US$ 240,000
• 50% initial payment, the rest 50% within 5 years
• VAT & Transfer not included in price
• Service charge: US$ 160/month
• Viewing charge: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
new built (not used before) • 9th floor • 2 lifts • power backup generator • furnished • 2 self & 1 common bedrooms • 1 common washroom • living room • dinning room • modular kitchen • wardrobes • ceiling fans • air conditioning units • water heaters • surroundings cleaners • car parking • 24/7 cctv & security guards • plenty of air & light • calm surroundings
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania


 
$240,000/= Almost 552,000,000M za kitanzania. Kwa picha hizo it is beautiful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…