Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Namba ukiitaji nakuletea pm.siwezi weka public namba maana sio ya biashara na siwezi nunua laini mpya kwa ajili ya kuuza Nyumba tu.unawajua watu wasiojulikana?nakutumia pm namba,yeyote anataka namba nampa pm
Ni hatari hao watu Mkuu hahaWasiojulikana 😀😀😀
Ni hatari hao watu Mkuu haha
Sawa Mkuu,asante kwa ushauriNingekushauri nunua line temporary...ukishauza nyumba unaiweka pending ama itupe kabisa.
naomba namba yako kaka tufanye biasharaIpo Kinyerezi ,bei milioni 29.vyumba vitatu,viwili master,umbali mpaka bara bara kuu unatembea dakika tatu,maji na umeme vipo jirani.kwa muitaji nicheki pm
Asantw umesema vyema sanaWatanzania tujifunze kufanya biashara za mtandaon..
Tangazo kama hilo ni lazima ungeweka taarifa muhimu kama ukubwa wa kiwanja, je kiwanja kina hati ? , Umbali mpaka barabarani ni kama kilomita ngapi ??? .....
Mwisho ungeweka namba yako ya simu kwa Sababu si watu wote wanunuzi wapo jamii forum kuna wadau wana ndugu jamaa na marafiki wamaweza kupewa namba yako wakakucheki
Sawa Mkuu nakutumianaomba namba yako kaka tufanye biashara
Point!Watanzania tujifunze kufanya biashara za mtandaon..
Tangazo kama hilo ni lazima ungeweka taarifa muhimu kama ukubwa wa kiwanja, je kiwanja kina hati ? , Umbali mpaka barabarani ni kama kilomita ngapi ??? .....
Mwisho ungeweka namba yako ya simu kwa Sababu si watu wote wanunuzi wapo jamii forum kuna wadau wana ndugu jamaa na marafiki wamaweza kupewa namba yako wakakucheki
OkeyPoint!
SureAsantw umesema vyema sana
Ukubwa Kiwanja 20 kwa 20.Kiwanja kina hati,okey asante ila Mteja serious pm sio mbali anakuja nampatia namba
Njoo pm ninazo mpaka video zinaonyesha vizuri tu .nikutumie kwa whatsupLeta picha za kutosha tuone hata muonekano lisije kuwa pagala limelalia ubavu unauza kiwanja!
For real mkuunice one
Ukubwa 20 kwa 20 ,hati haina bado mkuuWeka details za kutosha kama ukubwa wa kiwanja, ina hati nk
Send to 0622211770 WhatsappNjoo pm ninazo mpaka video zinaonyesha vizuri tu .nikutumie kwa whatsup
Okey ,nakutumia sasaSend to 0622211770 Whatsapp
Tayari Mkuu nimekutumia video na pichaSend to 0622211770 Whatsapp