Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Ipo Kinyerezi ,bei milioni 29.vyumba vitatu,viwili master,umbali mpaka bara bara kuu unatembea dakika tatu,maji na umeme vipo jirani.kwa muitaji nicheki pm
06f0a6ac41c4b1915693015e314dddf6.jpg
naomba namba yako kaka tufanye biashara
 
Watanzania tujifunze kufanya biashara za mtandaon..

Tangazo kama hilo ni lazima ungeweka taarifa muhimu kama ukubwa wa kiwanja, je kiwanja kina hati ? , Umbali mpaka barabarani ni kama kilomita ngapi ??? .....

Mwisho ungeweka namba yako ya simu kwa Sababu si watu wote wanunuzi wapo jamii forum kuna wadau wana ndugu jamaa na marafiki wamaweza kupewa namba yako wakakucheki
Asantw umesema vyema sana
 
Point!
 
Ukubwa Kiwanja 20 kwa 20.Kiwanja kina hati,okey asante ila Mteja serious pm sio mbali anakuja nampatia namba

Leta picha za kutosha tuone hata muonekano lisije kuwa pagala limelalia ubavu unauza kiwanja!
 
Njoo pm ninazo mpaka video zinaonyesha vizuri tu .nikutumie kwa whatsup
 
Back
Top Bottom