Mbona mnaiuza sasa na msiitoe bure kama bei ni sawa na bure 😀😀😀
 
Poa poa Mkuu ,ningeshangaa mangi usingelijua ilo
Yaah ila i hope umeshapata mteja.. maan the place iko powa. Hofu yangu nimeona ni kama kumedidimia chini ila kama unajiridhisha hakuna possibility ya maji kipindi cha mvua i think utapata mteja
 
Yaah ila i hope umeshapata mteja.. maan the place iko powa. Hofu yangu nimeona ni kama kumedidimia chini ila kama unajiridhisha hakuna possibility ya maji kipindi cha mvua i think utapata mteja
Yani maji hayafik kabisa,na uzuri kipindi ichi cha mvua mtu unajionea kabisa na sio kuhisi ,wateja wanakuja wengi tu isipokua kwenye bei tu wanakua na ya kiwango cha chini,nimepata kama kumi apa apa Jf tukashidwana kwenye bei tu ndo maana ndo natafuta
 
Piga picha kila angle tuione vizuri pamoja na ndani wengine tuko mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…