Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
hongeza bei kidgo mkuu mill18 bei rahisi sana tunashindwa
 
Shida hizi nyumba za kununua huwa na mambo mengi maana baadae utaambiwa msingi wa nyumba hii alizikwa mbuzi mzima mzima, au alizikwa mtu hapo.... hahahaaa nyumba jenga mwenyewe achana na kununua nunua ni kujitia nuksi tuuu
 
ukiwa na imani hii mkuu, itakuwa shida kuishi.
 
Back
Top Bottom