uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
- #321
Mchango wako sitoweza kusahau,nitakukumbuka sana mambo yakienda sawaTuko pamoja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchango wako sitoweza kusahau,nitakukumbuka sana mambo yakienda sawaTuko pamoja mkuu
Hakuna mafuriko ,njoo ujioneehapo lazima mafuriko yatakuwepo tu
Sawahongeza bei kidgo mkuu mill18 bei rahisi sana tunashindwa
Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 17
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313
DuhHii siyo ofisi ya CCM jamani? Tusitapeliane jamani.
Maji na umeme vyote vipo Mkuu,kuna Mpangaji anaishi analipa laki mbili kwa mwenzi,huduma zote muhimu zipoMkuu kuna maji na umeme?
Sio porini kama unavyodhani mkuuMbona kama ipo porini sna mkuu
Hivi simba watakosekana hapo kweli
he! hahahahahahongeza bei kidgo mkuu mill18 bei rahisi sana tunashindwa
Kweli vyuma vimekaza,haya sasa mwenye 13 njoo nikupe
Ina hati ya serikali.ndio ni mimi mkuuuna document zipi za umiliki.ni wewe mwenyewe unauza?
Mwisho 13 mkuumwisho umefika ngapi mkuu
ukiwa na imani hii mkuu, itakuwa shida kuishi.Shida hizi nyumba za kununua huwa na mambo mengi maana baadae utaambiwa msingi wa nyumba hii alizikwa mbuzi mzima mzima, au alizikwa mtu hapo.... hahahaaa nyumba jenga mwenyewe achana na kununua nunua ni kujitia nuksi tuuu
Mkuu kuna maji na umeme?
Tayari nimekujibu mkuu,vyote vipoNangojea majibu mkuu