ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Asante mkuuTayari nimekujibu mkuu,vyote vipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuuTayari nimekujibu mkuu,vyote vipo
SawaShida hizi nyumba za kununua huwa na mambo mengi maana baadae utaambiwa msingi wa nyumba hii alizikwa mbuzi mzima mzima, au alizikwa mtu hapo.... hahahaaa nyumba jenga mwenyewe achana na kununua nunua ni kujitia nuksi tuuu
KaribuAsante kwa taarifa
Ongeza ongeza mkuu au nikuuzie la laki mbili na nusu ila sio ilifanya Laki nne kila heka nije fasta
Umbali toka morogoro road 7kmOnesha umbali toka barabarani...
Hakuna mamba maeneo hayo mkuu ,pamechangamka kwa ajili ya kilimo ,wengi tu wamelima uko,mamba kwanza wana maeneo yao ,sio kila sehemu utamkutaMkuu, hakuna mamba huko?
Hizi kilometa zinaanzia wapi mpaka hapo ruvu station? Punguza kuwa na kauli za kidalal uongo mwingiUmbali toka morogoro road 7km
Zinaanzia Mlandizi ,mpaka njia panda ya Mwanabito kuna kama km 5,asante kwa ushauriHizi kilometa zinaanzia wapi mpaka hapo ruvu station? Punguza kuwa na kauli za kidalal uongo mwingi
Utaratibu wa Kuliuza Ukoje....kwasababu huko watu wanapigwa sana sana,wanauziwa Mara 3-5.Shamba linauzwa Mlandizi Ruvu steshion,ukubwa wa shamba ekari 15
Lina chanzo cha maji huakika ,unalima muda wote,unafuga Samaki kwa huakika,
Mahindi ,mpunga,karanga,mihogo,korosho za kisasa,nanasi na mazao mengine mengi,yote yanakubali
Bei laki Tisa kwa kila ekari
mkuu nitakupigiaOngeza ongeza mkuu au nikuuzie la laki mbili na nusu ila sio ili
Ukimbie kwa lipi? Ebu fika kwanza uone watu wanavyolimaHuko huchelewi kimbia shamba lako
Uko sio Bagamoyo mkuu Ruvu hakunaga migogoro ya hivyo,utajiridhisha kwanza umiliki halmashauri au serikali za Mtaa pia,maana lazima serikali iwepona waweze kuchukua asilimia yao inayoenda halmashauri na inayobaki kijijiniUtaratibu wa Kuliuza Ukoje....kwasababu huko watu wanapigwa sana sana,wanauziwa Mara 3-5.
(Uhakika/Usalama kwa mteja)
By the way kwanini unaliuza?
Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuuHicho chanzo cha maji kinachokuwezesha kulina mwaka mzima ni kipi?.
Ukiwa Mlandizi kama watokea Dar waenda upande upi?
Gari inafika mpaka shamba?
Kuna umeme?