Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Shida hizi nyumba za kununua huwa na mambo mengi maana baadae utaambiwa msingi wa nyumba hii alizikwa mbuzi mzima mzima, au alizikwa mtu hapo.... hahahaaa nyumba jenga mwenyewe achana na kununua nunua ni kujitia nuksi tuuu
Sawa
 
Shamba linauzwa Mlandizi Ruvu steshion,ukubwa wa shamba ekari 15
Lina chanzo cha maji huakika ,unalima muda wote,unafuga Samaki kwa huakika,
Mahindi ,mpunga,karanga,mihogo,korosho za kisasa,nanasi na mazao mengine mengi,yote yanakubali
Bei laki Tisa kwa kila ekari
 
Hizi kilometa zinaanzia wapi mpaka hapo ruvu station? Punguza kuwa na kauli za kidalal uongo mwingi
Zinaanzia Mlandizi ,mpaka njia panda ya Mwanabito kuna kama km 5,asante kwa ushauri
 
Shamba linauzwa Mlandizi Ruvu steshion,ukubwa wa shamba ekari 15
Lina chanzo cha maji huakika ,unalima muda wote,unafuga Samaki kwa huakika,
Mahindi ,mpunga,karanga,mihogo,korosho za kisasa,nanasi na mazao mengine mengi,yote yanakubali
Bei laki Tisa kwa kila ekari
Utaratibu wa Kuliuza Ukoje....kwasababu huko watu wanapigwa sana sana,wanauziwa Mara 3-5.
(Uhakika/Usalama kwa mteja)
By the way kwanini unaliuza?
 
Utaratibu wa Kuliuza Ukoje....kwasababu huko watu wanapigwa sana sana,wanauziwa Mara 3-5.
(Uhakika/Usalama kwa mteja)
By the way kwanini unaliuza?
Uko sio Bagamoyo mkuu Ruvu hakunaga migogoro ya hivyo,utajiridhisha kwanza umiliki halmashauri au serikali za Mtaa pia,maana lazima serikali iwepona waweze kuchukua asilimia yao inayoenda halmashauri na inayobaki kijijini
 
Hicho chanzo cha maji kinachokuwezesha kulina mwaka mzima ni kipi?.

Ukiwa Mlandizi kama watokea Dar waenda upande upi?

Gari inafika mpaka shamba?

Kuna umeme?
 
Hicho chanzo cha maji kinachokuwezesha kulina mwaka mzima ni kipi?.

Ukiwa Mlandizi kama watokea Dar waenda upande upi?

Gari inafika mpaka shamba?

Kuna umeme?
Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuu
 
Back
Top Bottom