Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuu
Ni mashambani tu hakuna watu wamejenga?
 
Chanzo cha maji ni mto,kuna bwawa kubwa la asili lenye maji muda wote ,hayajawah kukauka,yanatoka mto Ruvu,ukiwa unatokea dar upande wa kushoto ,sio upande wa kwenda Bagamoyo,kama unaenda mzenga,gari linafika mpaka Shambani mkuu
Unapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?
Kutoka shamba hadi mto Ruvu ni umbali gani?
 
Unapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?
Kutoka shamba hadi mto Ruvu ni umbali gani?
Ndio unapita barabara hiyo hiyo pemben Kiwanda cha kiluwa
Unapita ile barabara inayopita nje ya kwa Kiluwa Steel?
Kutoka shamba hadi mto Ruvu ni umbali gani?
Ndio mkuu unapita bara bara hiyo hiyo ya kiluwa,umbali shamba na mto ni km 1 kati apo ndo kuna ilo bwawa kubwa
 
Mkuu mimi bado natafuta maisha naomba mkuu unisaidie japo nusu heka kwa laki 3.5 nakuomba
 
kumi ziliisha.sasa zipo 25 pembeni ya apo.anayeitaji karibu pm nikutumie na ramani
 
Mku nusu ukati na kama unakata bei inapungua ili tuendelee na mambo mengine ya kujua uhalali wa umiliki wangu
 
Kina ukubwa wa robo ekari,kipo Chalinze karibia na kanisa katoliki,umbali km 1 toka morogoro road,kwa kutembea kwa miguu chap unafika,bei milioni 12,kwa mawasiliano zaidi pm,kimepimwa kina hati yake kabisa
 
Attachments

  • IMG-20190906-WA0054.jpg
    IMG-20190906-WA0054.jpg
    74.1 KB · Views: 29
Lipo mkoa wa Pwani Vigwaza kabla ya kufika mizani unaingia kulia kijiji cha buyuni, ukubwa wa shamba ekari kumi. Kila moja milioni moja hata pungufu unauziwa. Liinafaa kwa makazi, kilimo na ufugaji.

Kwa mawasiliano PM

IMG_20191018_114851_9.jpg
 
Kutoka Morogoro road ni kilomita ngapi boss?

Unaingia kulia ukitokea Dar au Morogoro?
Kuna km 8 toka morogoro road mkuu,kutokea dar unaingia kulia ,upande wenye kituo Cha polisi,na wakaguzi wa Mali asili
 
Back
Top Bottom